hawa jamaa wamekoswakoswa.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
_38.jpg

ukizingatia gari yenyewe breki inashika tairi moja tu. mia
 
Wamekoswa ndiyo lkn huo mchirizi kwenye lami sio brake za gari hiyo mkuu mia!angalia kwa makini sana.Hawa Wazigua,wabishi barabarani kama Wahehe wa Tanangozi na madumu yao ya ulanzi kwenye baiskeli
 
Wamekoswa ndiyo lkn huo mchirizi kwenye lami sio brake za gari hiyo mkuu mia!angalia kwa makini sana.Hawa Wazigua,wabishi barabarani kama Wahehe wa Tanangozi na madumu yao ya ulanzi kwenye baiskeli

leta rula tupime ajali mkuu. hiyo michirizi ni yatairi ya katikati kushoto. gari iliyumba kwenye kona ndo maana akaingia kulia. je kungekuwa na gari inayo panda unafikiri nini kingetokea? Mia
 
Hawa waendesha baiskeli sijui wanajiamini nini wawapo barabarani..
 
Barabara yenyewe imekuwa nyembamba sana haina feva kwa waenda kwa miguu wala wa baiskeli
 
wazanzibari nao huwa hawaogopi gari. sijui wakoje wakati wanajua kabisa iyo ni mashine
 
Back
Top Bottom