Hawa hawakuhitaji natural justice? Lowasa tuambie

Nimeisikia hotuba ya Lowassa na akadai kwamba hakutendewa haki ya kutokuitwa na kuhojiwa katika tume ya Dr. Mwakyembe
Kumbukumbu zangu kama ziko sahihi wafuatao walifukuzwa kazi na Lowassa mara moja bila kupewa nafasi ya kujieleza (natural justice)
1: Engineer wa Temeke baada ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa
kule temeke. Wana JF mtakumbuka, kijana alitimuliwa kazi on
the spot bila nafasi ya kujieleza nini kilitokea
2:Mkurugenzi wa wilaya ya Same,wakati wa mahindi ya msaada
wakati wa njaa. Mkurugenzi huyo alisimamishwa au kufukuzwa
kazi on the spot bila kupewa nafasi yeyote ya kujieleza na
Lowassa.
Swali: Ina maana Lowasa wakati huo alikuwa hajui maana ya
NATURAL JUSTICE? Sipati majibu kamili


Si hao tu

Ongeza na mwanasheria wa TANESCO aliyetoa amri afukuzwe mara moja lakini ikagonga mwamba, jamaa akasevu
 
2.jpg



Pole mama wachina wana msemo "mlango mmoja ukifungwa mwingine unafungiliwa" kuwa na subira....
 
LOWASSA yuko kama huyu paka kanyolewa kaishia kisikia baridi

kabaki manyoya kwenye kichwa na miguu tuuu

540ehj5-1.jpg
 
Hapa Lowasa anasound so selifish, labda huyo Mkurugenzi na Engineer wangeishia kufukuzwa kazi at the end of the day kwa uzembe wao kama taratibu zingefuatwa. Lakini wananchi wamefanya kosa gani hadi kutwishwa zigo la ongezeko la bei ya umeme? Where is their natural justice?
 
Back
Top Bottom