Hawa Ghasia ni mchovu kuliko hata Adam Malima?

Mngendalyasota

Senior Member
Jan 22, 2011
171
48
WanaJF, ktk mambo yanayonitia kichefuchefu ni uteuzi wa Hawa Ghasia kuwa waziri wa TAMISEMI, huyu mama ni kilaza mnoo, wizara hii ni ngumu kuliko zote hasa kwa aina ya mawaziri waliopo CCM na pia ndo yenye impact ya moja kwa moja kwenye maisha ya Watanganyika. Kwenye utumishi huyu mama alishindwa kabisa!!!! Anachozidiwa huyu mama na Adam Malima ni kwamba Adam hajijui kabisaa siku zote kama ana dhamana kubwa aliyopewa na rais ya kuwatumikia Watanganyika yeye ni kuchekacheka tu akiwa ndani ya mjengo na kutoa majibu mepesi.
 
Me naona huyo mama hiyo wizara inamfaa sana,si alikuwa afisa mipango Halmashauri ya Geita? Ngoja tumpe mda tuone tusitangulize lawama mbele kabla hatujaona utendaji.
 
Wengi wanachukia hijabu yake hamna lingine! Lete ushahidi wa uchovu wake! Mama ni msomi wa level ya masters na ni mchapakazi mahiri!
 
WanaJF, ktk mambo yanayonitia kichefuchefu ni uteuzi wa Hawa Ghasia kuwa waziri wa TAMISEMI, huyu mama ni kilaza mnoo, wizara hii ni ngumu kuliko zote hasa kwa aina ya mawaziri waliopo CCM na pia ndo yenye impact ya moja kwa moja kwenye maisha ya Watanganyika. Kwenye utumishi huyu mama alishindwa kabisa!!!! Anachozidiwa huyu mama na Adam Malima ni kwamba Adam hajijui kabisaa siku zote kama ana dhamana kubwa aliyopewa na rais ya kuwatumikia Watanganyika yeye ni kuchekacheka tu akiwa ndani ya mjengo na kutoa majibu mepesi.
Hawa ghasia ni dada wa salma k****te je ulikuwa hulijui hilo,halafu malima mbali na ukigogo wa baba yake lakini pia Di*i nayo imetumikaebu fikiria Ngeleja amewajibishwa na pia rais ametuambia wananchi kwamba hata maafisa wandamizi wizarani wlikowajibishwa mawaziri nao wachukuliwe hatua ikiwa ni pamoja na kushtakiwa ikibidi,kulingana na ushahidi.hapa nafikiri ni pamoja na katibu wakuu,
Sasa inakuwaje malima naibu waziri tena mwenye skendo ya ziada ya kibiwa gesti na inayesemekana kuwa mwanamke hawara.tena anakutwa na kiwango kikubwa cha fedha za kigeni na na za ndani pia, silaha mbili moja ikwa ya kivita halafu yeye anaachwa tena anapewa wizara nyeti ya kilimo kwanza ambayo ndio uti wa mgongo wa commonmwananchi.?

Kwa hali ya kawaida huyu hii skendo ilitosha kumfanya awajibike siku ile aliyotoka pale hotelini morogoro asubuhi.kwa hiyo hapa tuanaona kabisa tatizo la nchi hii ni pamoja na watendaji wa rais kuwa wabovu lakini pia tabia ya rais wetu ndio tatizo la msingi!
 
Mama huyu ana kiburi na kujiamiani sana kwa kuwa anajua analindwa na 1st lady!

Kumbuka aliwahi kuwaambia watumishi wote wa serikali ni vihiyo wakati watumishi wakidai maslahi bora ya kazi!
 
badala ya kujadili utendaji wake mnajadili private issues .km hamna la kusema nendeni beach basi.
 
Mama salma alikulia na kutunzwa na familia ya hawa ghasia.wamekuwa pamoja.wana undugu wa mbali kidogo lakini 1st lady ndo mpiga debe wake na hata afanye madudu gani msitegemee ataondolewa..
 
Huyu binti ni kilaza kama alivyo Malima.Wote wamepewa uwaziri kiushkaji tu,hamna kitu.
WanaJF, ktk mambo yanayonitia kichefuchefu ni uteuzi wa Hawa Ghasia kuwa waziri wa TAMISEMI, huyu mama ni kilaza mnoo, wizara hii ni ngumu kuliko zote hasa kwa aina ya mawaziri waliopo CCM na pia ndo yenye impact ya moja kwa moja kwenye maisha ya Watanganyika. Kwenye utumishi huyu mama alishindwa kabisa!!!! Anachozidiwa huyu mama na Adam Malima ni kwamba Adam hajijui kabisaa siku zote kama ana dhamana kubwa aliyopewa na rais ya kuwatumikia Watanganyika yeye ni kuchekacheka tu akiwa ndani ya mjengo na kutoa majibu mepesi.
 
Me naona huyo mama hiyo wizara inamfaa sana,si alikuwa afisa mipango Halmashauri ya Geita? Ngoja tumpe mda tuone tusitangulize lawama mbele kabla hatujaona utendaji.
Ukweli nimetamani kukushushia matusi lakini busara yangu imenizuia. Hivi wewe kuwa afisa mipango wa wilaya inalingana na kuongoza wizara muhimu kama hiyo?
Mimi hiki kitu kilinishangaza sana. Kumteua Hawa Ghasia kuwa waziri wa TAMISEMI? My God. Hakuna wizara muhimu kama hii kwa huduma za serikali na wananchi. Kwa makosa ya kipumbavu kama haya ccm itaendelea tu kujichimbia kaburi. Hii ndio wizara inayounganisha wananchi na serikali. Hebu angalia Kenya wanavochukulia wizara hii kwa umakini mkubwa. Mtu anayeshikilia wizara hiyo ni mtu makini kwelikweli. Siyo mtu yeyote tu.
 
Halafu huyu mama alivyo mafia kampeleka mume wake ubalozi india Kama accountant Huku akiwa anajua ni mlemavu wa mguu kwa maana nyingine ni chiba. Ili aweze kujirusha
 
Kuna Mdogo wake humu jamvin anafanyakazi mzumbe Kama IT alimpa pande la kusoma masters uk kwa kutumia scholarship za utumishi ndiye anayemtetea humu. Anatumia id kichomiz
Eti ni IT, mtu atakuwaje IT. Usimuhisishe Ghasia wa Mzumbe na huyu mama. After all kama mtumishi wa mzumbe alikua eligible kupata scholarship za utumishi.

Binafsi sijui utendaji wake, lakini katika kipindi chake utumishi wa umma umekosa msisimko, na kuplteza mvuto kwa watumishi. ikiwa ni pamoja kurudisha mambo ambayo mkapa alikua ameyaboresha kupitia miradi ya psrp. Hakuna reforms za maana zilizofanyika katika kipindi chake.
 
Back
Top Bottom