Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
wakuu nasikia wauguzi na wahudumu wengine wa afya wameapa kutoshirikiana na "madaktari" kutoka jeshini.huu mgogoro ni mkubwa kuliko ilivyofikiriwa na dalili zinaonyesha hali itakuwa mbaya zaidi hapo siku ya kesho.kwani leo ilikuwa siku ambayo ilitarajiwa kuwagawa madaktari lakini inaonekana bado wako pamoja na wanazidi kuvuta hisia za madaktari wa mikoa mingine.