The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 543
- 1,163
Bonjour
Jamani haya maisha, tuache kudharau watu ambao tunawajua na tusio wajua
Kuna jamaa yangu mmoja, nili meet nae almost 5 years ago alikuwa boda boda, alikuwa ana park Kimara pale stend ya kuelekea Bonyokwa, nakumbuka alikuwa amechoka na kama kapoteza future, ila Leo tumekutana tena hapa Kambi ya Jeshi Twalipo.. ni officer wa Jeshi JWTZ , ana nyota tatu (3).
Ana mdogo wake pia, ni soldier komando, last time nili meet nae, alikuwa school driving..
Aisee imenipa hope sana
Kuhusu alifikaje, kasema ataniambia..
Tuache kuwachukulia watu poa.