Hatujaiwasha Mitambo Ya Dowans: Tanesco.

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
248
Tanesco.JPG

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania(TANESCO),William Mhando(Kulia) akizungumza na waandishi wa habari,leo katika Ofisi Ndogo za Bunge,Dar es Salaam,ambapo akanusha habari kuwa mitambo ya ya kufua umeme ya Dowans imewashwa ili kusaidia kupunguza mgawo wa umeme.(Picha:Richard Mwaikenda)
 
Ulitegemea wasemeje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom