Hatua zinaendelea kuchukuliwa kuhusu tuhuma na shutuma zilizotolewa

Kama mnataka haki basi Dk.Slaa, Juliana Shonza na Zitto Kabwe waondoke madarakani kwa muda hadi uchunguzi ukamilike, vyenginevyo itakuwa ni kukiuka misingi ya haki na usawa katika sakata hili

Huwezi kamwe kutegemea Juliana Shonza awasilishe ushahidi wake dhidi ya Slaa katika kikao kinachoongozwa na Slaa, na haki itendeke.

Nashangaa kwa nini unashupalia Dr Slaa naye akae pembeni kupisha uchunguzi wakati unajua kwamba hajawahi kujihusisha na upuuzi wa kutoa au kujibu tuhuma hizi kupitia mitandao ya kijamii. Tunataka waliotoa tuhuma dhidi ya uongozi, kinyume na katiba na kanuni za chama, wapeleke vielelezo na kisha uchunguzi ufanyike. Zingatia kwamba kanuni na maadili ya CDM yanazuia kiongozi (kama Juliana) kutoa shutuma dhidi ya kiongozi mwingine nje ya vikao vya chama. Hilo ni kosa na ni lazima aadhibiwe kwa hilo kwanza, hata kama shutuma zake ni za kweli.
 
Vumbi tu! Mlikuwa wapi muda wote? Matatizo lukuki, nazidi kusisitiza uongozi ni tatizo, kaka angalia nawe usije ukawa mojawapo ya tatizo kwa sababu tayari press yako iko biased kwamba "viongozi wamekashifiwa". Hao wanatakiwa kujibu tuhuma na kila mmoja ana haki kidemokrasia kutaja maonevu, mfano Dr Slaa kuwa na kadi ya CCM ambako mimi siafiki ni kashfa?

Sana sana, kama hamna kitachotamkwa kuhusu kadi mi najitoa CDM na wewe mwenyewe utakosa kura yangu.
jitpoe salama. kwetu sisi wanachadema Dr wa ukweli ni kila kitu. mimi nipo tayari kukurudishia michango yako yote kama umewahi kutoa.
 
ushahidi kutoka online post hautambuliki kisheria kwa mahakama za tanzania. Tofauti na nchi kama Uingereza comments kwenye mitandao kama fb na twitter zinatambulika kisheria mahakamani. Kwa sheria zetu hata picha za video lazima uwe umezirekodi mwenyewe siyo tu umeokoteza sijui youtube sijui wapi...kitu cha kwanza ni lazima wawe na uthibitisho paipo shaka kuwa ben na yeriko walikuwepo mahakamani, pili simu zao hazikuzimwa, tatu simu zao zilikuwa na mtandao (yaani internet) ya kuweza kufanya hizo updates, nne wakiwa ndani ya mahakama walikamatwa wakiwa na simu zao hazijazimwa na wakiwa wamefungua jamiiforums.com wakiripoti hiyo kesi kinyume na maagizo ya mahakama.....kisheria wao hawana haki ya kuwafungulia madai yoyote yale ben na yeriko.

Dogo never say never! Mimi sio mwanasheria ila inabidi kuwa makini kidogo hapo:

A person found in contempt of court is called a "contemnor." To prove contempt, the prosecutor or complainant must prove the four elements of contempt:
· Existence of a lawful order – Jaji aliamuru
· The potential contemnor's knowledge of the order – Saa8 alijua
· The potential contemnor's ability to comply – Uwezo alikuwa nao ila alikaidi
· The potential contemnor's failure to comply – Yericko na Ben walikiri kuwa waliasi amri ya mahakama.
 
CDM ni chama makini sana.tunaamini watakuja na majibu sahihi na bila kumwonea mtu yeyote.wale watakao bainika kwenda kinyume na katiba ya chama wachukuliwe hatua kali bila kujali Cheo cha mtu.VIVA CDM. hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Sasa wewe CCM umeingiaje CDM tena? Tatizo ni kukariri kuwa kila anayechangia tofauti ni pro-Zitto. Aaa, acheni hizo banaa.
Mimi ndio ni CCM, lakini CCM sio mama yangu wala baba yangu.

Hao vijana masalia nawajua vizuri na hata namna walivyokuwa wanakuja kuomba hela huku CCM nilikuwa nawaona.

Inshort i dislike siasa chafu hasa mnazofanya nyinyi tena mkifadhiliwa na chama Changu kupitia wanasiasa uchwara kama Jk, Wassira, Nape na Mwigulu.
 
Mbunge wangu Mh John Mnyika, nikisoma hii taarifa yako niwazi kwamba umeshajitafutia upande (uko bias), unaposema eti wanaokashifu viongozi watachukuliwa hatuwa zinazofaa...! Kwanini hukusema hatuwa zinazofaa pia zitachukuliwa kwa viongozi wanaojengwa makundi kwa kubaguwa na kukandamiza viongozi wengine waliochini yao kwenye chama!

Katika Sakata hili, lazima muwe waadilifu, na nlitegemea sana wewe Mnyika utakuwa muadilifu, sababu siku zote upo hivo! Lakini napata wasi wasi katika hili! Lazima ukumbuke kwamba Padri mjiuzulu Slaa (samahani siwezi kumuita Dokta mtu aliesoma diploma kisha akasoma elimu ya dini then niambiwe ni Dr! Basi akina Sheikh Simba na Ponda ni maprofessor maana wamebobea kwenye dini zao) anashutumiwa kwa kuwagawa vijana na kuwakandamiza wengine, kuwabaguwa kwa misingi anayojuwa mwenyewe na mengine mengi yaliyoelezwa hapa.

Ni lazima shutuma hizo zichunguzwe, bila kumuhusisha Slaa katika kuunda hizo tume! Mnapokwenda kwenye kujadili, lazima mujuwe kwa yakini na bila upendeleo kwamba mnaenda kujadili,kuchunguza na kutoa maamuzi kwa pande zote mbili i.e. Zito et al na Slaa et al! Kinyume chake hamna maana yoyote!
 
Dogo never say never! Mimi sio mwanasheria ila inabidi kuwa makini kidogo hapo:

A person found in contempt of court is called a "contemnor." To prove contempt, the prosecutor or complainant must prove the four elements of contempt:
· Existence of a lawful order – Jaji aliamuru
· The potential contemnor's knowledge of the order – Saa8 alijua
· The potential contemnor's ability to comply – Uwezo alikuwa nao ila alikaidi
· The potential contemnor's failure to comply – Yericko na Ben walikiri kuwa waliasi amri ya mahakama.

hujajibu hoja zangu
 
JJ kimtindo alikuwa anataka kusema watu wasiendelee kujadili hizi shutuma za pande mbili kwa vile chama kinafuatilia.Hizi mada zinashabihiana bana, utamwachaje mwanamapinduzi afe peke yake?

Construction ya sentensi hizi ni ya Zitto aka Masalia nadhani umeamua kuja na ID hii maskini kiburi na kifua ch kutumia ID yako kwisheney I love JF mods wanatuachie wenyewe tufanye tafiti zetu
Vipi MR umeleta waganga wangapi sasa ,Pole ajikwezaye huanguka pu kama mweleko ,anguko lako la kihistoria ,Mwanamapinduzi wa sampuli yako hatumuhitaji kwenye nchi ,mroho na mfitini kalale
 
Dogo never say never! Mimi sio mwanasheria ila inabidi kuwa makini kidogo hapo:

A person found in contempt of court is called a "contemnor." To prove contempt, the prosecutor or complainant must prove the four elements of contempt:
· Existence of a lawful order – Jaji aliamuru
· The potential contemnor's knowledge of the order – Saa8 alijua
· The potential contemnor's ability to comply – Uwezo alikuwa nao ila alikaidi
· The potential contemnor's failure to comply – Yericko na Ben walikiri kuwa waliasi amri ya mahakama.

Katika watu waliokuweza mkuu wa matunguri ni Ben na Yericko ,wamekutime kweli mimi nangoja matunguli yako nione kama yatakusafisha ha ha ha ha ,I love JF the witches,snakes surpents are exposed openely and clearly we know you ddont spin the truth hatuhami sisi na masalia na kiongozi wao Zitto aka matunguri mpaka tuone mwisho wa wapinga mabadirriko uko wapi
 
Construction ya sentensi hizi ni ya Zitto aka Masalia nadhani umeamua kuja na ID hii maskini kiburi na kifua ch kutumia ID yako kwisheney I love JF mods wanatuachie wenyewe tufanye tafiti zetu
Vipi MR umeleta waganga wangapi sasa ,Pole ajikwezaye huanguka pu kama mweleko ,anguko lako la kihistoria ,Mwanamapinduzi wa sampuli yako hatumuhitaji kwenye nchi ,mroho na mfitini kalale
Haa haa haa!!!!!! Umeona ehe!!! Freshthinking = Pezzo = Gagula
 
Dogo never say never! Mimi sio mwanasheria ila inabidi kuwa makini kidogo hapo:

A person found in contempt of court is called a "contemnor." To prove contempt, the prosecutor or complainant must prove the four elements of contempt:
· Existence of a lawful order – Jaji aliamuru
· The potential contemnor's knowledge of the order – Saa8 alijua
· The potential contemnor's ability to comply – Uwezo alikuwa nao ila alikaidi
· The potential contemnor's failure to comply – Yericko na Ben walikiri kuwa waliasi amri ya mahakama.
Every smart person knows those but he or she must take precautions during those situations. Kwa jinsi nilivyo msoma Ben Saanane kwenye post zake nyingi, that will be too low to him.

Is it criminal offense or what?

Kumbuka hao vijana wa 'Masalia' bado ni wajinga na watoto sana kiupeo.
Nafasi pekee ya maana waliyokuwa nayo ilikuwa ni kupambana na Ben Saanane kisiasa tena mapema sana.
Now is too late...
 
Mbunge wangu Mh John Mnyika, nikisoma hii taarifa yako niwazi kwamba umeshajitafutia upande (uko bias), unaposema eti wanaokashifu viongozi watachukuliwa hatuwa zinazofaa...! Kwanini hukusema hatuwa zinazofaa pia zitachukuliwa kwa viongozi wanaojengwa makundi kwa kubaguwa na kukandamiza viongozi wengine waliochini yao kwenye chama!

Katika Sakata hili, lazima muwe waadilifu, na nlitegemea sana wewe Mnyika utakuwa muadilifu, sababu siku zote upo hivo! Lakini napata wasi wasi katika hili! Lazima ukumbuke kwamba Padri mjiuzulu Slaa (samahani siwezi kumuita Dokta mtu aliesoma diploma kisha akasoma elimu ya dini then niambiwe ni Dr! Basi akina Sheikh Simba na Ponda ni maprofessor maana wamebobea kwenye dini zao) anashutumiwa kwa kuwagawa vijana na kuwakandamiza wengine, kuwabaguwa kwa misingi anayojuwa mwenyewe na mengine mengi yaliyoelezwa hapa.

Ni lazima shutuma hizo zichunguzwe, bila kumuhusisha Slaa! Mnapokwenda kwenye kujadili, lazima mujuwe kwa yakini na bila upendeleo kwamba mnaenda kujadili,kuchunguza na kutoa maamuzi kwa pande zote mbili i.e. Zito et al na Slaa et al! Kinyume chake hamna maana yoyote!

wewe hiyo PhD unayo?
 
Construction ya sentensi hizi ni ya Zitto aka Masalia nadhani umeamua kuja na ID hii maskini kiburi na kifua ch kutumia ID yako kwisheney I love JF mods wanatuachie wenyewe tufanye tafiti zetu
Vipi MR umeleta waganga wangapi sasa ,Pole ajikwezaye huanguka pu kama mweleko ,anguko lako la kihistoria ,Mwanamapinduzi wa sampuli yako hatumuhitaji kwenye nchi ,mroho na mfitini kalale

ni kweli mkuu huyu ni zitto..
 
fainali ni uzeeni,no matter umefanya nini ujanani kubwa ni heshima yako uliyoipata uzeeni.
 
afadhali umesema ndugu Mnyika maana humu ilikuwa kelele tupu. Tunayasubiri maamuzi yenu kwa hamu kubwa.
 
Avanti, asante kwa maoni yako hata hivyo zingatia kuwa 'press' yangu ipi? Ikiwa wewe kweli ni mwanachama wa CHADEMA na una malalamiko dhidi ya kadi ya Dr Slaa andika rasmi kwa chama. Kabla ya kuandika malalamiko hayo usome kwanza katiba ya CHADEMA, katiba ya CCM na sheria ya vyama vya siasa. Dr Slaa ameshasema wazi kwamba yeye si mwanachama wa CCM, ni mwanachama wa CHADEMA toka alipohama CCM. Mwanachama akihama chama kimoja tayari anapoteza uanachama wake wa chama cha awali, hii ni kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, katiba za vyama vya siasa na pia hukumu ya mahakama ambayo imewahi kutolewa kuhusu suala la kadi. Ukishazingatia hayo na bado ukaendeleza suala hilo na ikiwa kwenye ni mwanachama utakuwa umeingia kwenye mtego wa kipuuzi wa CCM.

JJ

Mkuu ni kweli sheria ya vyama vya siasa imeweka wazi namna ambavyo mwanachama anaweza kupoteza uanachama wake lakini haikubainisha kuhusu umiliki wa kadi. Tatizo Waswahili tumejawa na mazoea ya kuona watu wanarudisha kadi za vyama vyao vya awali pindi wanapohamia vyama vingine na nadhani kwa hili ni sahihi ili kuweka sawa rekodi kwa vyama.
Pia hakuna haja sasa ya kukusanya kadi za watu wa vyama vingine(Iwe kwa CCM, CHADEMA, na vyama vingine) kwenye mikutano pindi wanapochukua kadi za vyama vyao vipya wanavyohamia, wabaki navyo kama kumbukumbu kwakuwa kumiliki kadi zaidi ya moja sio ishu.
 
Vumbi tu! Mlikuwa wapi muda wote? Matatizo lukuki, nazidi kusisitiza uongozi ni tatizo, kaka angalia nawe usije ukawa mojawapo ya tatizo kwa sababu tayari press yako iko biased kwamba "viongozi wamekashifiwa". Hao wanatakiwa kujibu tuhuma na kila mmoja ana haki kidemokrasia kutaja maonevu, mfano Dr Slaa kuwa na kadi ya CCM ambako mimi siafiki ni kashfa?

Sana sana, kama hamna kitachotamkwa kuhusu kadi mi najitoa CDM na wewe mwenyewe utakosa kura yangu.
Kwa mawazo yako hayo sijui ni lini utakuwa mwanachama wa CDM. Haiwesekani, kathu, asilani. Wewe na ghamba kama ulikuwa hujui jitambue na ulifurihie ghamba lako.
 
Back
Top Bottom