Hatimaye wanafunzi wa SUA wamepata raisi wa chuo

wilsonilanga

Member
May 26, 2013
79
14
Jana jumatatu tulifanya uchaguzi wa raisi wa chuo ambao ulifanyika Kwa amani Na kufikia tamati saa kumi kamili jioni Na muda wa saa nne usiku matokeo yalitoka yakionyesha bwana Edward Kunyara aliibuka mshindi Kwa kuwazidi Kura wagombea wenzake bwana Edward Kunyara Kwa sasa ndiyo raisi wa sokoine university Kwa mwaka 2016-2017
FB_IMG_1481454178025.jpg
 
Sasa kila chuo kije kitangaze raisi wake humu inasaidia nini sasa?
Broo kwan ubaya upo wap mm naona ipo njema kk angu hiyo ni kama breaking news lakini kama umekwazika sorry for that coz human being are created to mistake Na ndiyo maana tunasema hamna aliye mkamilifu
 
Ukikua itaacha
 
Acha Utoto.. Umetupa habari inatosha.. Haya Maneno ya nini YOTE wakati umechanwa ukweli.. We Tulia
 
Hii habari haina mantiki yoyote, Raisi wa sua ana wahusu wana sua sisi wa nini sasa? Kila mwanachuo humu akitwngaza hizi pumba ulizotangaza itakuwaje? grow up
 
Hii habari haina mantiki yoyote, Raisi wa sua ana wahusu wana sua sisi wa nini sasa? Kila mwanachuo humu akitwngaza hizi pumba ulizotangaza itakuwaje? grow up
Haya bwana usiyakuze xana cc sote ni binadamu Na tunakosea na no one ambaye hajawahi fanya kosa so ni kusamehana tu kaka angu usiwe ugomvi
 
Jana jumatatu tulifanya uchaguzi wa raisi wa chuo ambao ulifanyika Kwa amani Na kufikia tamati saa kumi kamili jioni Na muda wa saa nne usiku matokeo yalitoka yakionyesha bwana Edward Kunyara aliibuka mshindi Kwa kuwazidi Kura wagombea wenzake bwana Edward Kunyara Kwa sasa ndiyo raisi wa sokoine university Kwa mwaka 2016-2017View attachment 445575
at last, congrat kwa Mwampamba,my classment
 
Back
Top Bottom