TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,199
Jamuhuri ya Tunisia ambayo ilikuwa miongoni mwa nchi za mwanzo za kiarabu kukumbwa na vuguvugu linaloendea kwa nchi hizo za kutaka demokrasia zaidi hatimae imeweza kufanya uchaguzi wake huru leo tangu ilipopata uhuru wake kutoka kwa Ufaransa mwaka 1956. Je tunajifunza nini baada ya mageuzi haya? Tujadili
Source: BBC Swahili - Habari - Uchaguzi huru wafanywa Tunisia
Tunisia yafanya uchaguzi wa kwanza huru | Matukio ya Kisiasa | Deutsche Welle | 23.10.2011
Source: BBC Swahili - Habari - Uchaguzi huru wafanywa Tunisia
Tunisia yafanya uchaguzi wa kwanza huru | Matukio ya Kisiasa | Deutsche Welle | 23.10.2011