Hatimaye TFF wamefanyia kazi Uzi wangu

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,410
15,992
Bbaada ya game ya Simba na yanga kuisha na yanga kuibuka na ushindi mnono wa goli tano kwa moja

Nilikwenda kutazama marudio wa mchezo ule ndipo nikabaini kuwa yanga alipazwa kushinda Zaid ya goli sita

Ndipo nikaanzisha Uzi wa kuitaka tff waombe msadaa kwa caf Kisha fifa wawe wanatuwekea VAR kwenye game kubwa zote

Kumbe bwana vingozi wetu wako huku na kusoma andiko langu na Kisha kuwatafuta caf na fifa Kama nilivyo shauri ili wawasadie upatikanaji wa vifaa hvyo haswa kwa game muhimu

Leo habari imetoka kuwa taayari wako ktk hatua za mwanzo kuanza mchakato wa ufungaji wa VAR ktk baadhi ya viwanja na tayari mkufunzi mkuu Yuko nchini tayari kuwa noa wataalamu wa VAR

Kwanza nasikitika Sana kwani pmj na kwamba nililitoa wazo langu na kuwapa mbinu jins ya kupata vifaa hvyo hata kunishukuru hata kunifata dm kunipongeza karia ameshindwa ku acknowledge wazo langu ila fresh tu mtakwama tu na mtanitafuta

Wazo langu iko hapa chini

Mhhh! Sasa Dr, mbona hata mwigulu naye aliwahi kupendekeza pia jambo kama hilo mwaka wa jana! Tena yeye alienda mbali kabisa kwa kusema atashauriana na Waziri mwenye dhamana na michezo ili ikiwezekana zifungwe VAR kwenye viwanja 10 kote nchini!! Tukisema kila mtu aamue kujipa credit, maana yake watu wengi watasema wamehusika kuileta.

Mimi nadhani anayestahili pongezi hapa, ni yule aliyezileta. Ingawa lijamaa linapiga sana tu hela za Shirikisho, ila walau kuna kitu kinaonekana. Kwa hiyo kwa mtazamo wangu, nadhani Wallace Karia na upigaji wake wote, ndiye anayestahili pongezi kwa kuileta hiyo VAR.
 
CAF walishanga timu kubwa Afrika kufungiwa goli tano na underdog Tena ikiwa imetoka kucheza vizuri mashindano ya AFL.
Baada ya kuangalia mechi kwa makini waliona magoli manner yalizalishwa na refakwa sababu hawana uwezo wa kuingilia ligi za ndani Wala kubadilishanmatokeo walichoamua ni kutusaidia car na wale waamuzi kutoitwa kuchezesha michuano yote ya Caf.
 
Bbaada ya game ya Simba na yanga kuisha na yanga kuibuka na ushindi mnono wa goli tano kwa moja

Nilikwenda kutazama marudio wa mchezo ule ndipo nikabaini kuwa yanga alipazwa kushinda Zaid ya goli sita

Ndipo nikaanzisha Uzi wa kuitaka tff waombe msadaa kwa caf Kisha fifa wawe wanatuwekea VAR kwenye game kubwa zote

Kumbe bwana vingozi wetu wako huku na kusoma andiko langu na Kisha kuwatafuta caf na fifa Kama nilivyo shauri ili wawasadie upatikanaji wa vifaa hvyo haswa kwa game muhimu

Leo habari imetoka kuwa taayari wako ktk hatua za mwanzo kuanza mchakato wa ufungaji wa VAR ktk baadhi ya viwanja na tayari mkufunzi mkuu Yuko nchini tayari kuwa noa wataalamu wa VAR

Kwanza nasikitika Sana kwani pmj na kwamba nililitoa wazo langu na kuwapa mbinu jins ya kupata vifaa hvyo hata kunishukuru hata kunifata dm kunipongeza karia ameshindwa ku acknowledge wazo langu ila fresh tu mtakwama tu na mtanitafuta

Wazo langu iko hapa chini

Kwahiyo VAR ingekuwepo siku ile Yanga angeshinda 6 ila Mudathir asingepewa Red Card si ndo hivyo.

Umeleta wazo but ndani yake Mahaba tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom