Hatimaye Siri za ATCL zaanza kuvuja, ni kuhusu ndege ya Bombardier

Tumerekebisha , nilichanganywa na Taifa Stars kufungwa Misri , unajua mimi ni Mzalendo sana
Ajabu hili jinga ndio linajinadi kwamba ni think-tank wa Chadema.
Aliponaswa na habari fake na anakuja na utetezi wa kitoto.No research no right to announce.
 
Ningeshangaa kama ungesema tofauti Jo.. Kazi ya chawa ni kusifia hata upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
weww x
Mbona utetezi uko wazi kuwa hizo Q300 zilikuja 2008?

Hizi zingine za 2016 na kuendelea si inajulikana ziko 13?

Sio la ajabu

Huwa anajimwambafai kuwa ni mfanyabiashara wa kimataifa, hata sielewi biashara gani anafanya kwa uelewa mdogo kiasi hicho!
halinaga akili ni yale mazee yanayosubiriaga kuhongwa yaandike lina mtindio wa ubongo ukiwa mwalimu unafundisha majinga haya unayaua tu
 
Back
Top Bottom