Hatimaye nimepata dawa ya nguvu za kiume

Iyokopokomayoko ,from definition number 1,almost everything is a chemical,as all things are made up of elements.
Even water is hydrogen and oxygen chemically combined together.
Kwa hiyo mtu kusema dawa "haina kemikali" aidha ni kutokujua au ni upotoshaji tu.

Siyo kweli mkuu. it should be been produced from a chemical process. Na pia kisayansi siyo kweli kuwa kemikali zote ni mbaya au zina madhara mabaya. Ila watu mmekariri vibaya.
 
Mkuu upo? siku nyingi sana sijakusikia. Hapana hii haijachanganywa na tangawizi ila unaruhusiwa kuichanganya tu haina madhara hii.

Hiyo dawa yako umechanganya na tangawizi mkuu?
Nasikia tangawizi inaongeza sana na yenyewe nguvu za kiumeni
 
Babu wa kikobe dawa yake ilikua 500 tu, wewe elfu 50, kweli wajinga ndo waliwao.
 
kimsingi hilo tatizo la nguvu za kiume ni phenomenon isiyoeleweka vizuri na inaposemwa ndipo inapoongezeka. watu hujishuku wenyewe kuwa wanatatizo baada ya kudanganywa na waandishi uchwara. hujikuta wametumbukia kwenye mdololo wa kisaikolojia hali inayolepekea udhaifu katika kushiriki tendo.
kimsingi njia nzuri ni kula vizuri, kufanya mazoezi, kupumzika

HAWA WAFANYABIASHARA WANADANGANYA WATU
 
Hakuna lolote anazingua tu huyo wenye shida ya nguvu za kiume tumien mchanganyiko wa asali maziwa kitunguumaji tende na unga wa habat soda only that dude halilali ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom