Hatimaye nimepata dawa ya nguvu za kiume

Inategemea tatizo lilikuwa limekufika kiwango gani lakini unaweza kukaa miezi hata mwaka isitoshe huu ni mti tu hauna kemikali yeyote ukitaka kujiimarisha zaidi unaruhusiwa kurudia dozi ni wewe tu utakavyokuwa unajiona. Hii unakunywa kutwa mara 3 kwa siku 10 na siyo unapoenda mzigoni

Mkuu, ukiitumia inakaa mwilini kwa muda gani? au kila mara ukitaka kuingia kazini lazima ulambe tena na tena?
 
Sehemu ya kutestia haipo mkuu, hii ni kwa waliooa tu ndiyo maana nikaandika 'kama heshima imeanza kupungua huko nyumbani'. Kama hujaoa wala huna mchumba itakusumbua tu heri kukaa nayo mbali

Kuliwa Elfu hamsini nyingi, je nikinunua kuna sehemu umeandaa ya kutestia?
 
Inategemea tatizo lilikuwa limekufika kiwango gani lakini unaweza kukaa miezi hata mwaka isitoshe huu ni mti tu hauna kemikali yeyote ukitaka kujiimarisha zaidi unaruhusiwa kurudia dozi ni wewe tu utakavyokuwa unajiona. Hii unakunywa kutwa mara 3 kwa siku 10 na siyo unapoenda mzigoni

Hapo kwenye red ni uongo!
Huwezi kurekebisha matatizo ya mwili kwa kumeza/kula kitu kisicho na kemikali.
Kemikali ninini?
 
Chemical

Definition
noun, plural: chemicals
(1) A substance made up of chemical elements or produced from a chemical process
(2) A drug, especially illicit or addictive drug

Iyokopokomayoko ,from definition number 1,almost everything is a chemical,as all things are made up of elements.
Even water is hydrogen and oxygen chemically combined together.
Kwa hiyo mtu kusema dawa "haina kemikali" aidha ni kutokujua au ni upotoshaji tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom