Aisee nimekamatika mpaka jana nikatoroka, na leo nimesingizia naumwa ili niwe nae nisiende ofisini. Mimi ni mchapakazi sana na mara ya nyingi ni wa mwisho kuondoka ofisi, lakini naona mapenzi yataenda kufanya kibarua chagu kiote nyasi
Mahusiano haya yenye mwezi sasa yanazidi kunibadilishia misingi ya maisha. Nampenda huyu kijana na sikuwahi kudhani nitasalimu amri kwa mtu kiasi hiki.
Ananipenda sana na kadri siku zinavokwenda hatupoi. Nifanyaje mambo yasibadilike huko mbeleni na kibarua changu kisije kuota nyasi?