Hatimaye nimefanikiwa

haroooo afande mwita...karrrrribu sana hapa janvin.....mama rrrroda bado tu harrrrijaaaamka usingizin...yesu wangu!!
 
Minilivoona hiyo heading nikajua umefanikiwa kupata mke humu jamvini kumbe ni kupost... hongera afande Mwita na karibu sana, wafundishe Chacha,Wambura na Robi pia!!!
 
karibu sana Mwita, ujivue gamba kwa great thinkers. Waambie na akina chacha, marwa, kisiri na wengine wote waje humu.
 
Karibu Mwita,
ila umekuja peke yako kwani Ghati umemuacha wapi?
au bado yupo kwa kina Marwa?
 
Karibu Mwita! Karibu sana ingia na maratu muraa! hakuna tabu Mama Bhoke atafagia ukitoka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom