Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala amehitimu UDSM

angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.

shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.

ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
Elimu sharpens brain sio swala la ela tu + personal esteem
 
Kila mtu anamaamuzi yake kwenye Elimu,kama si majina kufanana huwezi jua kwanini imetokea ivyo maana kila mmoja anajua maisha yake binafsi,kuna Padre mmoja pale udsm wale Political science department alipata PhD baada ya miaka 12 na mwaka aliopata hiyo PhD ndo ulikuwa mwaka wa kustaafu,UDSM masters mtu kusoma miaka 4au 5 nikawaida sana sijambo la kushangaa,kuna jamaa yangu jana amegraduate alitokea Tumaini undergraduate na gpa yake ya 3.9 kapiga miaka 5 fresh kabisa.
 
angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.

shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.

ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
Umeambiwa hajawekeza. Unamjua lakini Pascal Mayala au unazungumza tu. Elimu nayo ni muhimu sana ameona mbali! MAny Congratulations Pascal Mayala.
 
Why don’t you just make it easy for me and tell me when and where you gon’ be at so I can pull up and have you talk all that shit to my face?

Bitch. Any way any how, I’m coming for your smelly ass.
Nyani umeanza lini kutishia amani watu humu? Hufanani na mwandiko huu acha utoto wakati wewe ni matured.
hivi ni unavutaga unga au bangi?

Dsm, kinondoni nyuma ya masai mtaa wa mwinjuma ukitaka no ya nyumba njoo pm.
Bitch

Nishakuja pm.

Haya nipe.

Bitch 10 times.

You gon’ get it.
Sijambo shikamoo.

Matola hujawahi kulijua hili sukuma katika watindiga humu ndani na anaongoza kudhalilisha wanawake ni huyu mjamaa ila ananifurahisha tu kuona miaka yote humu ndani namuumiza kichwa.

Sasa ngabu kwa akili yako utanifanya nini? nakucheka ujue kuona nakutoa kamasi.
Acha kupiga watu mikwara mbuzi, mbwa wewe!? Una ubabe gani shida zimekujaa hadi matakoni kwa stress na depression zako zinazokufanya uwafanyie bullying watoto wa kike humu JF kila kukicha.
Kama unajiweza kweli sema tuandae mpambano wa Mimi na wewe tuzipige kavu kavu kama UFC wana JF wahudhurie nikutoe nishai bitch ass niqqa, homeless muhufuka.
Mbwa wewe!
Eeeh Wajameni Degree ya Mayalla imezua balaa.
 
Back
Top Bottom