Hatimaye MS Ang'olewa kimoja

asingepewa ban moja kwa moja-hata kama alikuwa anaboa au ana matazamo tofauti ya wengi,alitakiwa aachwe tu azungumze,hio ndo cost ya uhuru wa kuongea,si wote watakuwa na point za kufurahisha jamii,MS namchukulia kama hawa vichaa tulionao huku mtaani,hata kama wanatuboa,but ni part ya jamii yetu-hatuwez kuwauwa ka sababu eti wanatuboam as long hata sisi tunaweza boa wengine,bora aachwe nae aseme

Yes kuna freedom of speech lakini MS alikuwa amefikia levels nyingine.Yeye alikuwa mchonganishi tena kwa kutumia udini.Rwanda na Burundi walipochinjana kwa uchochezi wa radio kila mtu anajua makovu yaliyobakia... MS alikosa utanzania. Hatuhitaji kujenga chuki za kidini katika jamii yetu kwa kumfurahisha mtu mmoja.
 
Mgalanjuka huoni kumuondoa ndio kunampa nguvu zaidi ya JF kuonekana sehemu ya wakristo. Na hapo hata sie waislamu tunashindwa kuwatetea maana tutaonekana tumechakachuliwa? Kwanini watu wasimuangalie tu kama kichaa fulani kwani hata mkimuondoa ndio mtazamo wake na baadhi ya watanzania wengine sad to say it. Think deep ndugu
 
Nimefurahi sana kusikia habari hii.Ngoja nikajipongeze kwa MBUZI KATOLIKI na Tusker Baridi..Bado Kiranga and Company.

Hongera JF kwa kazi nzuri...
 
Kumfungia MS si ustaarabu wala si demokrasia, This is "where we dare to talk openly"? how comes anafungiwa?
 
Yes kuna freedom of speech lakini MS alikuwa amefikia levels nyingine.Yeye alikuwa mchonganishi tena kwa kutumia udini.Rwanda na Burundi walipochinjana kwa uchochezi wa radio kila mtu anajua makovu yaliyobakia... MS alikosa utanzania. Hatuhitaji kujenga chuki za kidini katika jamii yetu kwa kumfurahisha mtu mmoja.
swala la rwanda na burund ni mambo ya kikabila-though yalipewa support na radio-mimi ninavyodhani MS hakuwa tatizo kubwa hadi kupewa ban ya forever,angepewa ban kwa muda flan hadi zimboe yeye mwenyewe,na kulingana na michango na comments ambazo angekuwa anzpata hapa JF angejikuta anabadilka mwenyewe bila kujijua-sisi ndo tungeweza kumbadilsha awe kama wengine
 
Ndio mifarakano ya kikabila na kidini inaleta madhara yaleyale.Tujaribu kuangalia majirani zatu na tujifunze kwa mifano hai.Kila kitu kina mwanzo wake hata mauaji ya kikabila au kidini huwa yanaanza kwa uchochezi kidogo kidogo pengine hata mtu mmoja anaweza kuanzisha kitu ambacho baadaye watu wakishachinjana everybody will be suprised how could such tiny thing light up all that.Mimi sina shida na baadhi ya mabandiko ya MS lakini yale ambayo aliweka ili watu watukanane wachukiane nilikuwa naumia sana manake sisi wote ni ndugu anapotokea mtu analeta uchochezi ili tufarakane hapo ndio upungufu wa busara yake ulikuwa imevuka kikomo. Amani ni kitu adimu sana na kukilinda ni muhimu.MS alikuwa anavuruga amani for sure.
 
Kumfungia MS si ustaarabu wala si demokrasia, This is "where we dare to talk openly"? how comes anafungiwa?
Anastahili,hata wewe ukienda vibaya utafungiwa..Alizidi bana..Nadhani atakuja kivingine au tayari ameshaingia ila tutamjua tu.
 
Mgalanjuka huoni kumuondoa ndio kunampa nguvu zaidi ya JF kuonekana sehemu ya wakristo. Na hapo hata sie waislamu tunashindwa kuwatetea maana tutaonekana tumechakachuliwa? Kwanini watu wasimuangalie tu kama kichaa fulani kwani hata mkimuondoa ndio mtazamo wake na baadhi ya watanzania wengine sad to say it. Think deep ndugu

Hapo Mzee Mdondoaji unakosea.MS kama ameondolewa si kwa sababu ni mwislam au mkristo ila ni kwa uchochezi wake katika baadhi ya mabandiko.Kuna waislamu wengi na wakristo wengi humu jamvini.Kama kigezo ni dini basi si haki lakini kwa kigezo cha kuvuruga amani hapo that guy has to go..
 
Anastahili,hata wewe ukienda vibaya utafungiwa..Alizidi bana..Nadhani atakuja kivingine au tayari ameshaingia ila tutamjua tu.

Mimi ntakwenda kama nnavyokwenda kuanzia 2007, ataenifungia anifungie, sina wakumogopa ila mmoja tu. Allah!
 
Hapo Mzee Mdondoaji unakosea.MS kama ameondolewa si kwa sababu ni mwislam au mkristo ila ni kwa uchochezi wake katika baadhi ya mabandiko.Kuna waislamu wengi na wakristo wengi humu jamvini.Kama kigezo ni dini basi si haki lakini kwa kigezo cha kuvuruga amani hapo that guy has to go..

Mgalanjuka ndugu yangu kumtoa atapata watu wenye kumbeza mie sidhani kama MS alikuwa na tatizo ila namchukulia kama sehemu ya jamii tu. Naamini angelitazamwa tu kama mtu mwenyemtazamo fulani basi nadhani angelibadilika tu baada ya muda fulani. Kumbuka tabia ya mtu kuibadilisha ni ngumu sana hata awe amesoma vp!!!
 
Lakini yeye sio wa kwanza kula kifungo cha maisha.Wengi walipitia hatua hiyo na kuja kivingine.Kuna wakongwe wengi wa zamani ambao walipokiuka taratibu kwa kiwango kwa kikubwa waliondolewa.
 
Bora yule aliyekuwa anaonesha tabia yake wazi kuliko wengine wanajifanya makondoo kumbe ni mambwa mwitu.
 
Kama ni Malaria Sugu si ilihitaji tiba? Na tiba yake ndo hiyo!
Hata hivyo hata wangemwacha mimi nilisham-ignore.
 
Habari za uhakika nikwamba yule msumbufu no,1 MS(MARALIA SUGU)Ameng'olewa hapa JF baada yakuonekana mwelekeo wake ulikuwa mbaya wa wakugawa watu!Si raia halali wa JF.Kuanzia leo.

Kweli I dont bay this story broooo!!!!

Kwani katka jamii yoyote humu duniani kuna watu kama MS sasa sijaona umuhimu wa kumtoa humu kwani nasi katika JF tunamsoma mind yake na kujua

MS Kiboko kumbe karudi bwana!!!Fuatilia michango utaona Ms yupo ndani ya nyumba!!Safari hii yupo makini kweli!!
 
Back
Top Bottom