Hatimaye MS Ang'olewa kimoja

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Habari za uhakika nikwamba yule msumbufu no,1 MS(MARALIA SUGU)Ameng'olewa hapa JF baada yakuonekana mwelekeo wake ulikuwa mbaya wa wakugawa watu!Si raia halali wa JF.Kuanzia leo.
 
Habari za uhakika nikwamba yule msumbufu no,1 MS(MARALIA SUGU)Ameng'olewa hapa JF baada yakuonekana mwelekeo wake ulikuwa mbaya wa wakugawa watu!Si raia halali wa JF.Kuanzia leo.

Atakuja kivingine Kaka.
 
Si alisema yuko busy anasoma masters sijui..naona hatajali yuko nje anasoma.... i will miss his controversial, annoying, some time very awkward and chokonozi postings, MS!!
 
nafikiri wamrudishe tu, huwezi kuwa na watu wanaokubaliana kila kitu popote duniani
 
nafikiri wamrudishe tu, huwezi kuwa na watu wanaokubaliana kila kitu popote duniani

Kweli kabisa Juddy
Ila kuna kipindi jamaa alikuwa anabore acha tu... ila inafurahisha the way we differ in our thinking and approaches!!
 
Habari za uhakika nikwamba yule msumbufu no,1 MS(MARALIA SUGU)Ameng'olewa hapa JF baada yakuonekana mwelekeo wake ulikuwa mbaya wa wakugawa watu!Si raia halali wa JF.Kuanzia leo.

Anajipanga kivingine we subili lakini tunashukuru kafungiwa maisha
 
mi sijafurahishwa na yeye kupigwa ban ya maisha! Jamii yenye afya bora ni ile inayoheshimu utofauti wa mawazo! Ukiona hata ndani mke wako mnakubaliana ktk kila kitu, ujue mmoja wapo hana haja ya kuwepo kabisa! JF tusifike huko, hatutofautiana na CCM ya JK!
 
Maoni mengine yanatupotezea mda. MS alikuwa akipotesa mda mwingi wa wana JF kumpa elimu. Mwanafunzi kilaza kama MS ku-disco ni razima maana haelewi. MS hajui hata kulinda maslahi yake binafsi achilia mbali maslahi ya jamii. Sikuzote amepambana kulinda maslahi ya mafisadi na wahafidhina bila kutambua kuwa anahatarisha maslahi yake. Naimanisha maslahi ya kutoa maoni.

Najua atakuja kivingine na bila shaka ameshakuja, uzuri anaweza kutambuliwa hata ukifumba macho na kusomewa alichokiandika. Namaanisha MS network.

Ndugu zangu msiombe kukutana na MS live mutatapika. Anajiwasilisha kwenye jamii kama mtu msomi na muelewa anayefahamu mstakabili wa taifa. Hafichi upumbavu wake hata akitukanwa live. Kuna MS mmoja pale UDSM-Ubungo Hostel ukimuona utashangaa. Eti nimsomi anafanya PhD. Licha ya wasomi wenzake kumuelimisha huwa haelimiki. Sikumoja katika kueneza upuuzi wake (dhidi ya Dr. Slaa) katika kundi la wananchi wa wakaida ambao hupenda kuwindowshop habari za magazeti mbele ya hostel hiyo alijikuta akihadhirika. Mwananchi mmoja wa kawaida alisema "toka hapa msomi gani wewe kawadanganye wajinga wenzio" . Kwa uzoefu huo nilikuwa sioni sababu MS aendelee kupoteza mda wa wanajukwaa.
 
mimi nijuavo hakimu au jaji hawezi kutoa hukumu bila kusikiliza pande zote mbili yaani mdai na mdaiwa au mshtakiwa na jamhuri labda tu kwa kesi za madai inatokea kukawepo na hukumu ya upande moja au jinai kama mshtakiwa hajatokea mahakamani.sasa huyu bwana alipaswa kuachwa ili tuendelee kuchambua pumba na mbichi zake. KUmtoa haitosaidia sana kwani si lazima kumsoma mawazo yake.huu bwana lazima atakuja kivingine ila tunaomba ajibadilishe kimawazo awe anatoa mawazo ya kujenga jamii asiwe kama yule bwana anaejiita mkereketwa wa CCM aliohojiwa na BBC kuhusu katiba mpya akaongea upuuzi na upupu wa hali ya juu wakati alipowekwa meza moja na MH MNyika.
 
MS ni kinyonga kwa hiyo tuko naye na tutaendelea kuwa naye daima.
 
aisee alikuwa anakera sana! Yan pa1 na kwamba ni uhuru wa kutoa maoni mm bnafsi alkuwa anankera mno. Kuna wkt nksoma post zake najckia kulia kbsa. Aje kvingine lakin abadilike!
 
atarudi kivingine na akirudi mkamfunga atarudi tena cha muhimu kama mnaweza trace ip address yake anayotumia mara kwa mara inaweza kuwa ndio ya hm na kui blobk
 
Sounds interesting what happen to the idea of freedom of speech?? or the Slogan of WE DARE TALK OPEN is no longer there????
 
Habari za uhakika nikwamba yule msumbufu no,1 MS(MARALIA SUGU)Ameng'olewa hapa JF baada yakuonekana mwelekeo wake ulikuwa mbaya wa wakugawa watu!Si raia halali wa JF.Kuanzia leo.
asingepewa ban moja kwa moja-hata kama alikuwa anaboa au ana matazamo tofauti ya wengi,alitakiwa aachwe tu azungumze,hio ndo cost ya uhuru wa kuongea,si wote watakuwa na point za kufurahisha jamii,MS namchukulia kama hawa vichaa tulionao huku mtaani,hata kama wanatuboa,but ni part ya jamii yetu-hatuwez kuwauwa ka sababu eti wanatuboam as long hata sisi tunaweza boa wengine,bora aachwe nae aseme
 
Back
Top Bottom