Maskini Jeuri
Member
- May 9, 2011
- 80
- 10
Wakuu nawasalimu sana.
Leo tena mkuu wetu wa nchi katika hali ambayo ni ya kizembe
Kaaga na kushuka kwenye jukwaa akiwa amesahau kabisa kuwa
Ameongozana na viongozi wenzake wa nchi. Alipofika chini ya
Jukwaa ndipo anakumbuka mabwana wenzie, kwa haraka na aibu
Akarudi na kuanza kuwaita mmoja mmoja kuwasalimia wadanganyika
aliwaita makamu wake, kisha Shein, pia balozi lakini ccm B hakuwepo.
Kumbu kumbu imefana ila karibu brother angeleta dosari. Kwani hana to do
List?
Nawasilisha!