Hatimaye JK achemsha tena kumbukumbu za mashujaa!

Hali ya kawaida tena mkuu? hapo ndiyo yuko katika hali ya kawaida mkuu.......hajawahi na hatawahi kuwa better than alivyo sasa.Otherewise it'll just remain a miraculous anticipation......



Sijui kama kuna siku alishawahi kuonyesha uwepo wa kumbukumbu.....I mean ni lini alishawahi kuonyesha kukumbuka anyways?


Mkuu Ben, big up brother. U have put it right.
 
Wakuu nawasalimu sana.Leo tena mkuu wetu wa nchi katika hali ambayo ni ya kizembeKaaga na kushuka kwenye jukwaa akiwa amesahau kabisa kuwaAmeongozana na viongozi wenzake wa nchi. Alipofika chini ya Jukwaa ndipo anakumbuka mabwana wenzie, kwa haraka na aibu Akarudi na kuanza kuwaita mmoja mmoja kuwasalimia wadanganyikaaliwaita makamu wake, kisha Shein, pia balozi lakini ccm B hakuwepo. Kumbu kumbu imefana ila karibu brother angeleta dosari. Kwani hana to doList? Nawasilisha!
kwa haya yanayomkumba nadhani anajuta kuwa rais ni msongo tu wamawazo namshauri ajiuzu kwani anazeeka kabla ya umri wake
 
kashapaniki anajua saizi kila anachokifanya watz walishamdharau kwa hiyo anajisikia aibu. Pia naona nchi imemzidi
ni kweli kabisa...

Nina imani anajisikia kama mtu aliyevaa suti bila chupi ndani.... khe khe kheheheeeeeeeeeee
 
Ni wale wazee wetu walio chakazwa njugu na wareno, washonana na Na askari wa Nduli Idd Amin kule Uganda. Nimesikitika vile VascoAmemtaja Nduli Idd Amin. Hata watoto wanaojifunza history hawataelewaKitu. Amesema "majeshi yetu yaliyo mng'oa idd Amin" bila ufafanuzi. Wowote! Yani Ni Kama anamweshimu Hivi!
Asante mkuu!
 
Hali ya kawaida tena mkuu? hapo ndiyo yuko katika hali ya kawaida mkuu.......hajawahi na hatawahi kuwa better than alivyo sasa.Otherewise it'll just remain a miraculous anticipation......



Sijui kama kuna siku alishawahi kuonyesha uwepo wa kumbukumbu.....I mean ni lini alishawahi kuonyesha kukumbuka anyways?

Unajuwa Rais ni System iliopo kinacho onekana hapo ni kuwa wale waliozunguka ndio wana mchanganya kila mtu anaongea lake; maskini Kikwete naye anashindwa la kufanya maana akibishana nao labda anaogopa kuwa hao ndio watu pekee waliobaki wanaompenda hapa Tanzania.

Unakuta labda mmoja anasema Mkuu ukimaza teremka mara twende zetu, mwingine anasema hapa Mkuu mi naona pale hujafanya vyema angalao unje salimia tu, mwingine hapana kachoka aondoke mwingine rudi mzee wape hata hi kidogo ndio tuondoke; ahaa ukiwa wewe mwenyewe huna msimamo ni hatari sana.

Nadhani jamaa kuna wakati anajutia kuomba hicho cheo maana Nyerere alisema kuna watu wanakimbilia pale wanadhani ni pana raha pagumu pale Ikulu. Hawa jamaa nao walivyo na roho mbaya wanampiga madawa tu kama Machael Jackson ili mradi amalizie siku hawana huruma kabisa hawa jamaa wa Usalama. Wao wanachotaka ni mradi aonekane yupo hata kama hayupo nilikwisha kusema hawa jamaa sasa waache kudeal na miili na roho wadeal na akili zaidi.

Wao wanaona raha kuwepo figure pale basi na neno amani ya unafki.
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii duh uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tena . Wadau naomba kunukuu maneno machache ya Vasco Dagama wakati wanahabari walipomuuliza kwa nini anatanguliza mke na watoto kwenye kutafuta udhamini wakati anagombea urais 2010/ 2013. nanukuu " Urais ni suala langu binafsi sio la Chama kwa hiyo ndo maana mnamuona Ridhiwani na mamake huko kwenye kudhaminiwa" mwisho wa kunukuu. Sasa kuwasahau VIONGOZI WENZAKE SIO KITU CHA AJABU kwani alishasema kuwa Urais ni suala lake binafsi sio suala la kuwa kiongozi Mkuu wa Nchi. sasa awatambulishe watu wengine ili iweje? NDIO UJINGA WETU TULIOCHAGUA HATUNA JINSI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom