Hatimaye Jerry Muro ashinda kesi yake

endelea kudhani upo juu ya sheria kuna siku tutawachoma vijiti makalioni kama gadaffi.
kwa akili yako Jerry alikuwa anafanya mchezo mchafu???????????
Hamna aliye juu ya sheria Maria. Watu wanajua kucheza tu na sheria. Issue ya Jerry Muro ni obvious kila mtu alikuwa anaifahamu. Mahakama imeshaamua, hatuwezi tena kumuhukumu hapa JF
 
Hivi wakati kesi inaendelea mwajiri wake alikuwa bado TBC au ndio aliacha kazi kabisa huko?

kwa jinsi ilvyokuwa inaonekana nadhan hakuwa bado ni mwajiriwa wa TBC. Hata mwenendo wa kesi yake haukuwa unaripotiwa tbc. ITV ndo walikuwa wanairipot mara kwa mara.
 
Jerry Muro hana hatia....ameachiwa huru. haki imetendeka bro...Jerry be free and walk majestically.
 
kipindi Tido akiwa mkurugenzi jamaa alikuwa anapewa nusu salary ila baada ya TIDO kuondolewa mshahara wote wa Jerry ukakatwa ikiwa pamoja na huduma zingine kama bima ya afya nk

Niliwahi kusikia kuwa TBC walimfukuza kazi wakati kesi inaendelea, mwenye taarifa atatujuza zaidi.

kwa jinsi ilvyokuwa inaonekana nadhan hakuwa bado ni mwajiriwa wa TBC. Hata mwenendo wa kesi yake haukuwa unaripotiwa tbc. ITV ndo walikuwa wanairipot mara kwa mara.
Well then i am expecting him kurudi kwenye one of the Tv Stations...lakini kwa jinsi mlivyoelezea sidhani kama itakuwa rahisi kwake kurudi TBC inaonekane huko na kwenyewe alifanyiwa vitimbi
 
kwa jinsi ilvyokuwa inaonekana nadhan hakuwa bado ni mwajiriwa wa TBC. Hata mwenendo wa kesi yake haukuwa unaripotiwa tbc. ITV ndo walikuwa wanairipot mara kwa mara.
Sasa tbc wamebaki na aibu zao..
 
Hivi watu wa Jf mtanataka habari ikamilike vp?Mwenzetu katoa taarifa hapa kwamba Muro kaachiwa huru sasa utanaka habari gai tena au angesemwa kafungwa ndo ungesikia raha paha.Acheni hizo bwana
 
Dah! Pole sana Jerry..Karibu tena uraiani. Lakini naamini utakuwa umeshapata fundisho. Siyo kila mtu ni wa kuchezea ndani ya TZ hii

Dear J. Muro,
Usiogope maneno ya wakata tamaa kwamba binadamu wengine tuwaogope hata kama wanayotenda siyo ya haki. Ukifikiria sana wote tuna mambo yanayolingana: Tunazaliwa na lazima tutakufa. Sasa adhabu gani au ufahari gani unaoweza kumfanya mtu akawa na kingine tofauti katika hayo.
Mwisho wa siku tunazaliwa for a reason...some of us work hard to find the meaning of our being on earth. Probably that is your call and if that is, damn, go for it.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
kipindi Tido akiwa mkurugenzi jamaa alikuwa anapewa nusu salary ila baada ya TIDO kuondolewa mshahara wote wa Jerry ukakatwa ikiwa pamoja na huduma zingine kama bima ya afya nk
Mkuu hii ni kwa mujibu wa sheria gani? Wanatakiwa washitakiwe hao manake kwa mujibu wa ELRA mtuhumiwa hatakiwi kukatwa mshahara anatakiwa alipwe wote hadi atakapopatikana na hatia. Na kama hatapatikana na hatia basi anarudishwa kazini na kuendelea na kazi hili suala la kukatwa mshahara ama kutolipwa halipo hata kidogo!
 
Back
Top Bottom