Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,094
- 3,020
Mahubiri kuwa siri?Yaani iwe siri sirini tu?
Mbona sielewi miye?
Kwani mahubiri huwaje?
Huwa chumbani jamani?
Sielewi kitu jamani miye
Hii ndio Tanzania?
Kila mtu anaililia?
Raiss anatubania?
Vyuma kutukazia?
Chatle kupendelea?