Hatimae Muamsho watambulika kimataifa

silent lion

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
1,161
1,540
Channel ya Al Jazeera imeonesha vuguvugu la Uamsho leo katika taarifa zake za habari na kueleza jinsi wazanzibari wasivyoutaka Muungano
 
Nimeiona tangu jana inaoneshwa hii kitu masheikh kadhaa wamehojiwa na kudai hawautaki muungano...kazi ipo!
 
Hawa watu wanafahamika kimataifa, kwani wamewahi kuandika waraka UN wakihoji kama Zaznibar ni nchi au siyo nchi.
 
Muda huu tu ndio Mkutano wa Uamsho umeisha Mahonda, katikati ya kisiwa cha Zanzibar, watu kwa maelfu wameshajaa njia zote kurudi makwao, mamia ya Malori yameelekea mjini na watu wana mawe na mabakora na wachache mapanga ila wote wana visu. Sura inatisha sana kwa wageni kuona umati huu unaotoa matusi ya kinyama dhidi ya nchi yao Tanzania. Ushauri wangu, SMS ifutwe mara moja na serikali moja ya Tanzania ianze kazi moja ya kujenga nchi na sio uchochezi.
 
Wameanza tena? Mabomu ya moto hakuna? Virungu je? Polisi wapo na FFU? Zenj wataipata fresh hadi ifike 2015. Asante kwa taarifa.
 
SMS ifutwe mara moja na serikali moja ya Tanzania ianze kazi moja ya kujenga nchi na sio uchochezi.[/QUOTE]

Mkuu nadhani hapo kwenye abbreviation ulitaka kuandika SMZ, SMS ni abbreviation ya maneno mengine.
 
Hali hiyo siyo nzuri kwa kweli!! Kama hali hiyo itaendelea basi muungano na wenzetu utatushinda kwa sababu ambazo ni za ajabu sana. Sidhani kama nia ni kupata nchi yao
 
Hawa uamsho walimhitaji Mkapa ndo alikuwa kiboko yao, wala wasingekuwa barabarani hadi leo.
 
Hawa uamsho walimhitaji Mkapa ndo alikuwa kiboko yao, wala wasingekuwa barabarani hadi leo.

Nyakati za kuwadhulumu na kuwatesa wailsamu zimekwisha...Hapa ikiuwawa muislamu na majeshi/polisi wa Tanganyika muelewe mkristo wa kitanganyika atauwawa vile vile...Jino kwa jino.
 
Wameanza tena? Mabomu ya moto hakuna? Virungu je? Polisi wapo na FFU? Zenj wataipata fresh hadi ifike 2015. Asante kwa taarifa.

Polisi waliwalinda tu, Uamsho wamebadilisha mfumo, walishauriwa na bosi na mwanzilishi wao Amani Abeid Karume kwamb moto uendelee lakin wapunguze mwendo kona. Sasa wao wanakutana kuwasomesha wananchi kuichukia Tanzania, SMZ ifutwe au Tujiandae kwa Vita Kama ya Kenya na Somalia, sisi na Zanzibar ya Uamsho
 
Nyakati za kuwadhulumu na kuwatesa wailsamu zimekwisha...Hapa ikiuwawa muislamu na majeshi/polisi wa Tanganyika muelewe mkristo wa kitanganyika atauwawa vile vile...Jino kwa jino.
Vipi hoja ya mkataba imekufa? Mimi nawaunga mkono wavunje muungano tena ikiwezekana kesho kwa amani.

Takashi chuki dhidi ya Watanganyika ya nini? Dini ipi inalingania mauaji? Hivi huoni kauli zako zinaudhalilisha Uislam?
Kama Mtume Mohamad(S.A.W) aliishi na watu wa imani nyingine na wasio na imani wapi wewe umepata kuhusu mauaji?
Unapoufungamanisha Uislam na kauli za kipuuzi unaidhalilisha dini Sheikh, ilimu haisemi hivyo. Futa hayo maneno (edit).

Je, hao Watanganyika wakitumia busara zako mbovu WZNZ 350,000 watakuwa na hali gani Sheikh huku bara!
Kwanini unakua Abnuwasi wa kukata mti uliokalia.

Edit hiyo sehemu ndugu yangu, dini haisemi hivyo, na kama ndivyo basi ni ya WZN siyo tunayoijua dunia nzima.
Too low Ahli wangu, jazba hadi unapoteza hata hekima kidogo zizlizobaki. Sheikh umeghafilikiwa na nini.
Muombe Mwenyezi msamaha!
 
Ingawa baadhi ra watu wanadhani Uamsho ni matokeo ya udini, ukweli ni kwamba Uamsho ni matokeo ya kubakwa kwa demokrasia Na CCM Kama watawala. serikali inapaswa iruhusu mjadala Wa muungano Na wananchi watoe maamuzi yao bila pingamizi. waamue kama wanataka muungano Au la Na kama wanataka waamue ni muungano gani wanataka.
 
Back
Top Bottom