takashi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 905
- 188
Vipi hoja ya mkataba imekufa? Mimi nawaunga mkono wavunje muungano tena ikiwezekana kesho kwa amani.
Takashi chuki dhidi ya Watanganyika ya nini? Dini ipi inalingania mauaji? Hivi huoni kauli zako zinaudhalilisha Uislam?
Kama Mtume Mohamad(S.A.W) aliishi na watu wa imani nyingine na wasio na imani wapi wewe umepata kuhusu mauaji?
Unapoufungamanisha Uislam na kauli za kipuuzi unaidhalilisha dini Sheikh, ilimu haisemi hivyo. Futa hayo maneno (edit).
Je, hao Watanganyika wakitumia busara zako mbovu WZNZ 350,000 watakuwa na hali gani Sheikh huku bara!
Kwanini unakua Abnuwasi wa kukata mti uliokalia.
Edit hiyo sehemu ndugu yangu, dini haisemi hivyo, na kama ndivyo basi ni ya WZN siyo tunayoijua dunia nzima.
Too low Ahli wangu, jazba hadi unapoteza hata hekima kidogo zizlizobaki. Sheikh umeghafilikiwa na nini.
Muombe Mwenyezi msamaha!
Mimi nilikua najibu tu, hoja ya mshenzi mmoja ...Nyakati za kuwatisha waislamu zimekwisha...