ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 198
hapa kazi ipo. je mkijitenga mtapata faida gani msipojitenga vipi. jamani wanzazibar mpo wengi sana bara mna kazi mna biashara mmeoa huku kwetu hivi mnajiuliza wabara wangapi wapo zanzibar na wanafanya kazi huko. hivi muungano ukivunjika nasi wabara tukawasaka kama mbuzi mrudi kwenu mtarudi nanini. achen huo ujinga akina jusa wapo watakapokwenda mtakaumia ni nyie wazenji ambao leo wanawatuma na mnapigwa mabomu na vitu vizito. Mwambieni Sheni na Seif hamtaki muungano muondoke hata leo si tunawaangalia tu. 'dhambi ya ubaguzi haiishi...............kama kula nyama ya mtu