Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,092
Kaburi Limefukuliwa...Hebu tupeni ubuyu. Wanaendeleaje?
Kaburi Limefukuliwa...Hebu tupeni ubuyu. Wanaendeleaje?
Haaaaa Haaaaa 😂 halllooooNyie ndoa zenu vp
Wekeni humu tuzijadili
Ova
Wako wanatiana fresh tu.Hebu tupeni ubuyu. Wanaendeleaje?
Basi wote wana akili. Walikula ujana vizuri, wakati ulipofika wakatulia. Sio wengine wanakimbilia ndoa halafu wanaanza kupiga gemu za nje wakiwa ndani ya ndoa.Wako wanatiana fresh tu.
Huwa tunafuatilia picha mpaka liishe😁😁😁Kaburi Limefukuliwa...
kwani sisi tulikuwa kama Kelvin?Nyie ndoa zenu vp
Wekeni humu tuzijadili
Ova
Una uhakika katulia ?.Kama haujui hamna watu wanaojua machimbo yalijificha na kutulia kama watu walioa ,ili asijulikane na mkewe akiwa na michepuko yake,anapiga matukio yake akirudi kimya.Basi wote wana akili. Walikula ujana vizuri, wakati ulipofika wakatulia. Sio wengine wanakimbilia ndoa halafu wanaanza kupiga gemu za nje wakiwa ndani ya ndoa.
Acha hizoKwani vipi tena.anywe sumu harusi za watu.?
WameachanaHebu tupeni ubuyu. Wanaendeleaje?
Bila ya shaka ndicho alichotaka kusikia kuwa kimetokea.Wameachana
Alitoka na wewe mwenyewe au unasingia rafiki yako eeh 😃😃Bado yuko Vodacom hajatoka ila keshafanya Airtel enzi hizo Zain na Tigo Pia
Vimwana katoka nao wengi mie mwenyewe nna best yangu alitoka na jamaa pia ana list ya maana
tu
Wadau humu full kulaani kama wachawii vile.. wa baba mmoja na mama mmoja.. ni kuombea mabaya tu na kukatisha tamaa sipati picha hiyo manzi ikipitia huu wayaNyie ndoa zenu vp
Wekeni humu tuzijadili
Ova
He used to be making good figures hapo kampuni. What else does it take kama uko rijali? Ni fame na wanawake tu.Duh,jamaa kiwembe
Sio wewe kweli huyo aliekuwa hurt.😂kama kabadilika Hongera zake ila ajue ame wahurt wadada wengi sana tu and my friend is among of them