mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,493
- 767
marketer nguli Kelvin Twisa weekend hii ameuaga rasmi ukapera na kufunga ndoa na bi Eleonor...
Nasikia kaacha kilio kila kona mujini watu wanna Pete zake za uchumba na watoto
Nawez dada angu akickia atakunywa sumu bora abaki huko huko uk
hahahha kwa age aliyo nayo na status yake kuacha vilio ni jambo la kawaida;ila vilio vitaongezeka akiamua kutii kiapo kwa Elianor....
Nasikia kaacha kilio kila kona mujini watu wanna Pete zake za uchumba na watoto
Nasikia kaacha kilio kila kona mujini watu wanna Pete zake za uchumba na watoto
JF ina mambo lol
Hehehehehe ina maana naniliu alishapigwa chini
Smile/wajfanya hujui tabia za huyu mwanetu?c yule dada nanihiii asa hivi yupo uk ndo alimvika na pete????tafuta cv yake bandika hapa
ahahaa mi sijui bwana lohCpati picha wakat akipita road,vilio vilitawalaje kwa walotapeliwa..........tusaidie smile
Malaya malaya tuu ht akioa...huyo dada ajiandae na yy kwa vilio..unless naye ni malaya mwenzie