Kaka mim naomba nikushauri.
Naona unatumia/mnatumia nguvu nyingi kubishana na mtu/watu wa aina ya 'Bansen Burner', watu wa aina hii wanamapungufu ya kifikra inawezekana kutokana na kukosa elimu au kupata elimu isiyo na faida (elimu ya kuondoa ujinga na siyo ya kumkomboa kifkra).
Ukweli ni kwamba serikari yetu katika hili imekurupuka maana ilitakiwa iwatangazie watu mapema hata kabla ya kufungua sydtem ya nacte na watu kuanza kuapply pia walitakiwa kuwaandaa watu kwa kupandisha kidogo walau kwa kuanzia lower second (naamin hapa wachache wangeumia) hii ni kwa sababu kupata lower second si kazi kubwa sana kama kuipata upper second. Yote kwa yote mim naiman serikari italiona hili na Guide ya Tcu ikija itakuwa na maboresho kidogo kwa watu wa Diploma na si kwa hiyo GPA iliyotangazwa na Ndalichako hivyo tungoje tuione hiyo Guide book. Mim pia ni mmoja wa wanhanga wa hili tamko maan nina diploma lakin GPA yangu iko vizur sina ugomvi nao ila naumia kuona wengine wanakatishwa ndoto zao ghafra. Hakika kila elimu inaugum wake, chini ya juahakuna elimu rahisi. Tuwasamehe bure hawa wanaotoa majibu mabaya ya kuwakatisha tamaa wengine maana hatujui elimu zao na pia kama wanaelimu hatujui wamezipata vip kwan chuon ukiwa na pesa hakuna kuferi ila kama huna pesa lazima kukesha.Kila la gheri ndugu zangu wenye DIPLOMA kama mimi Mwenyezi Mungu naamin atasikia kilio chenu na tutakutana vyuoni panapo majaliwa.