hatari imetokea kwenye concert ya epic nation mwembe yanga temeke.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
katika hali isiyo ya kawaida baada ya show ya chid benz kumetokea taharuki baada ya watu waliokuwa katikati ya uwanja kukimbia huku wakipiga kelele kitu kilichofanya watu wote kukimbia.kutokana na wingi wa watu baadhi ya watoto walikuwa wanakanyagwa.sijui kama kuna aliyekufa coz watu ni wengi na show imesimama.cha ajabu hamna ambulance wala police.ni fujo tupu.nipo kwenye tukio
 
wafanyabiashara ndogo ndogo kuzunguka uwanja wameibiwa wengine bidhaa zao kukanyagwa.viatu vya vimetapakaa.watoto wanalia wamepoteana na ndugu zao,wengine wamepotza simu walinzi wamezidiwa nguvu na vibaka.bodaboda wametupa pikipiki wanakimbia kwa miguu hadi sasa mc hajasema nini kimetokea.speaker zimezimwa watu wanapiga mayowe.hakuna kuelewana hapa.ngoja na mimi nikimbie...!!muniombee nisianguke nikakanyagwa.mia
 
nmerudi tena mc kakimbia na mic.hakuna anayetake care ya watu.walinzi waliyopo wanalinda vifaa nya mziki.
kuna kijana kakusanya viatu na ndara zilizotupwa wakati wa watu kumbia kaweka kwenye kiroba.anasema anaenda kuvitandaza kona.watu waende kuchagua.ukipata kiatu chako unatoa mia mbili.kama ndara unatoa mia.
 
nmerudi tena mc kakimbia na mic.hakuna anayetake care ya watu.walinzi waliyopo wanalinda vifaa nya mziki.kuna kijana kakusanya viatu na ndara zilizotupwa wakati wa watu kumbia kaweka kwenye kiroba.anasema anaenda kuvitandaza kona.watu waende kuchagua.ukipata kiatu chako unatoa mia mbili.kama ndara unatoa mia.
bwahahahaa
 
kutokana na wingi wa watu huwezi kwenda mbele coz walio mbele wanakimbia kwenda nyuma.watu ni wengi sana uwanja umejaa.jenga taswira mara2 ya mkutano wa mwishi wa slaa mwembe yanga.show inaendeshwa na channel 5 na mc ni mjukuu wa wambua anaeendesha kipindi cha planet bongo.
 
hadi sasa hivi police hawajaja na kuna vikundi vya wahuni vinapokonya simu na pesa mfukoni kwa nguvu katikati ya uwanja.hamna msaada.
Hivi lakini utaandaaje tamasha kubwa kama hilo usiwe na polisi na ambulance? hawa EATV hawaoni wenzao CLOUDS wanavyoandaa matamasha yao? wanatakiwa kufunguliwa mashtaka kwa kusababisha furugu pasipokua na tahadhari
 
naona wanaanza tena kukusanyika na speaker zimewashwa.na mjukuu wa wambua anatangaza eti temeke amekubali kuwa kuna wana.anasema sasa baada ya vumbi kuisha sasa tunaonana.kasema dj kabla ya kumuita mafuvu kwenye stage hebu turushe kwa mziki tuchangamshe viungo.
 
Hii post haina mshiko cos haitoi maelezo karibu nitaiita crap.
 
muziki umezimwa tena ansema kuna baba anataka kuongea na watu..kapanda jukwaani na askari police na magwanda yale ya kutuliza gasia.na kusema watu wasogee nyuma shughuli ianze lasimi na mtu ajaribu kufanya fujo tena aone.hajataja jina wala nini kashuka na magwanda yake.watu wamekusanyika tena.watoto waliopoteana na ndugu zao hawajapewa msaada na sasa hivi kelele hazisikiki tofauti na mziki wa dullysykes ule bongo fleva.
 
mjukuu wa ambua ndo anaanza kutangazia watu vitambulisho vilivyopote na watoto waliopotea.kilicho sababisha fujo ni baada ya chid benz kujirusha kwa mashabiki kitu kilichotowesha amani.mc akazima mziki na kumwambia arudi kwenye stage.ikatokea makundi mawili wanaomtaka ashuke aje juma nature na wengine wanaotaka aendelee.hivyo mashabiki mbele wakaanza kupigana kilichosababisha watoto na wakina mama kuanza kukimbia.watu wote wakaanza kukimbia bila kujua nini kimetokea mbele.hakukuwa na mtu wa kuuliza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom