Hatari Bunge Lamhujumu Dr,.Slaa .

Kasheshe sasa leo unaendelea na msimamo wako kuwa hotuba ya Dr.Slaa ilikuwa live?

Ama kumekucha na wewe umeujua ukweli wa mambo ulivyo?
Kuna mambo ya kubisha na mengine lazima kwanza uwe na ukweli.

Kasheshe hata kama ni ukada mwingine unamharibia mtu heshima mbele ya wana JAMVI ,.,.......
 
Hili swala la kuzuia Tv kuonesha live coverage ya Dr Slaa kuna mtu atalijutia karibuni. Huu haukuwa uamuzi mzuri kisiasa.

Mimi nahesabu siku tu.....tik tak tik tak...
 
Kwanini wasitangaze tu habari za ZIMBABWE ili wengine waridhike?
Shida ni kwamba hata muda wenyewe wa kujadili kashfa zetu na uhuru wetu hautoshi
 
Watanunua hata magazeti yote lakini hawawezi kushindana na ukweli pamoja na nguvu za wakati zilizovaa matairi ya teknolojia.

Wachina wanashindwa kublock internet pamoja na ujanja wao wote (wameweza kuhack mpaka computer za serikali ya marekani) itakuwa sisi kina Ngumbaru Mwitu?

Maadam tushaipata hapa walie tu.Tena ngoja niikopi kabisa na kuituma katika email yangu.

Well said Pundit.

The revolution has started, walie tu! Hakika, Internet itawakomboa wengi. Waache wendelee kulala tu huko kwenye zama zao za mawe.

Hawajui muda umeshafika, mpaka wakianza kupigwa mawe ndio wataamka, majambazi wakubwa hao
 
Majambazi is too light!
Yani watu wauze nchi nchi unawaita majambazi?
Hapa ni FREEDOM TUNAPIGANIA NA SI KUFUKUZA MAJAMBAZI!
 
Majambazi is too light!
Yani watu wauze nchi nchi unawaita majambazi?
Hapa ni FREEDOM TUNAPIGANIA NA SI KUFUKUZA MAJAMBAZI!

Si kufukuza tu. Kupiga mawe unaweza kuua pia. Hii ni mijambazi iliyokithiri. Daylight ROBBERS!! Ambao wanadhani wako juu ya sheria, mawe yatatupatia quicker solution.

Sometimes you have to fight for your FREEDOM the hard way, no one with an upper hand is willing to hand it to you! Ninapigania HAKI kama wewe jmushi, you can offer a viable solution if any. Otherwise tukae chini tupanga. Mimi nilite nini, na wewe, na yule, yeyote aliye tayari. Tuikomboe nchi....
 
Pole sana Miratkad .Go easy tumesha anza mapambano na tutashinda mkuu .Kasheshe yeye sijui huwa anawaza nini .Jana alikomaa hapa hata kama ni mapenzi si hivi .Kuona kipande cha hotuba yaa Slaa kwenye TBC si sawa na kuacha watu wamsikie na kumuona LIVE ana mwaga hotuba yake yote .Wacha nikalale ningoje majibu ya wana Nchi kwa hawa CCM.

Je mtakubali nyie na ndugu zenu kununuliwa na tisheti na vikofia na ugoro ? Kule kwetu wanagawa mpaka ugoro ili wapewe kura .
 
Nikuwaelimisha tu hawa ndugu zetu vijijini. Wengi wao ni vigumu kuona mbali. Hii ilikuwa ni mojawapo ya sera za CCM kuwapumbaza wananchi. Safari ijayo kutakuwa na Mfuko mkubwa wa kutosha. Ila, hii ishu ya information tools (Internet, TV, Radio, nk) zenye kupenetrate nchi nzima lazima liangaliwe kwa makini na kutatuliwa mapema. Si mmeona Obama alivyompiga bao Clinton kupitia Internet?

Nitajaribu kutafuta njia za kuhakikisha nini kitapatikana, katika utatuzi huo, kutoka huku nilipo.
 
Cha muhimu wananchi wadai habari zote kama ilivyokuwa awali!
Kama wasipopewa nafasi ya kufuatilia mjadala wa bungeni then hii kupindisha ni haki against wananchi!
Na ndio maana hata elimu hawawapi!
Ila ni lazima watu wasimame kiume!
 
Back
Top Bottom