Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,340
Kama hata baka huyo
Basi achana naeGem tuu
Atampotezea sababu kaitunzakwa nini kama ni bikira amuache?
Jamani wadau napata shida sana na huyu demu wangu.., hataki kbsa habari za ku sex, anadai kuwa mpka nimuoe ndio kila kitu chake nitakipta tena katika hali ya juu., alafu kitu kitu kinaitwa denda ndio kabisa hataki!! sasa najiuliza nimuache au vp?? Au labda ndio wife material????? Naombeni ushauri wadau
Nipe namba yake ya simu Tafadhali mkuu nimuweke sawaJamani wadau napata shida sana na huyu demu wangu.., hataki kbsa habari za ku sex, anadai kuwa mpka nimuoe ndio kila kitu chake nitakipta tena katika hali ya juu., alafu kitu kitu kinaitwa denda ndio kabisa hataki!! sasa najiuliza nimuache au vp?? Au labda ndio wife material????? Naombeni ushauri wadau