Hataki kufanya na mimi mapenzi, sijui huyu mpenzi wangu nimuache

USHAURI

mkuu mm nakushaur umuombe tuu siku avue chupi angalau uione tuu, Mana pengne hata haipo mkuu blv me,
 
Mkubalie na vumilia ila mwambie utakapomuoa umkute bikra vinginevyo utakapokuta hna bikra unarudisha kwao SKU hyo hyo
 
Kama mtu anakunyima harafu anakuwa mtulivu kwa dhati na ikiwa pia ni tabia yake ya asili ni sawa,lakini inakera pale mtu anakunyima kukuzuga kizamani umuone mtulivu kumbe Kuna mhuni anajipigia tu apendavyo haraf kwako bilabila ili uoe
 
Uliona wapi unatumia bidhaa bila kulipia??? Peleka posa oa weka ndani atapiga hadi deki apo kati.
 
Mkuu kwa dunia hii ya sasa usikubali huo ujinga kama sio bikira sepa zako mapema huyo anataka kukupumzikia
 
Ni bikra? Au ameamua tu kukusugulisha bench?
Kama sio bikra anakosa uhalali wa kukukatalia tendo. Yaani wengine awape wee alafu wewe akukatalie!!!
 
Jamani wadau napata shida sana na huyu demu wangu.., hataki kbsa habari za ku sex, anadai kuwa mpka nimuoe ndio kila kitu chake nitakipta tena katika hali ya juu., alafu kitu kitu kinaitwa denda ndio kabisa hataki!! sasa najiuliza nimuache au vp?? Au labda ndio wife material????? Naombeni ushauri wadau

Weka picha yake tumuone
 
Nipe namba yake ya simu Tafadhali mkuu nimuweke sawa
 
Unanikumbusha hadija wangu.
Anapenda hela kuliwa hataki
Yaani katika mahusiano ya miezi sita kanipa mara 2 tu.tena kwa mbindee
Mpaka umtishie kumuacha.atajifikiria weeeee ndo anakubali.
 
amin usiamin anaweza kuwa analiwa huko kwingine ila wewe ili umuoe anakubania, kuna kipindi nliwai muweka mdada kwenye waiting list alinitokea kijinga mimi nikaendelea na yangu aliningoja mpaka akakoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom