Hataki kufanya na mimi mapenzi, sijui huyu mpenzi wangu nimuache

Jamani wadau napata shida sana na huyu demu wangu.., hataki kbsa habari za ku sex, anadai kuwa mpka nimuoe ndio kila kitu chake nitakipta tena katika hali ya juu., alafu kitu kitu kinaitwa denda ndio kabisa hataki!! sasa najiuliza nimuache au vp?? Au labda ndio wife material????? Naombeni ushauri wadau
USIJE UKAKUTA PA KU_INSERT MJEBELE HAPAPO,
 
Piga chini hakuna mapenzi ya hivyo hasa Karne ya 21 Nashauri ni Vema Ukamuoa Mchumba uliyempa Ujauzito au uliyezaa naye Tayari unakuta mwanamke anakukatalia sex wakati kashatoa mimba Kibao.
Lumumba fc buku saba
 
Wapi mi Nina Experience ya Kuliacha Demu la Hivyo! demu ananyonya Mpaka Dushe ndo ugonjwa wake Hebu Jaribu Kupeleka Chini Huko unakuta limevaa Nguo Nyingi. Nikalipiga chini mpaka Leo linanitafuta
Huyo alikua lumumba mwenzako bishaa
 
Muulze kama ni bikra akijibu ndiyo tafuta jinsi ya kuhakikisha ili ujiridhishe na kama ni kweli anayo usimlazimishe kufanya muache tuu kama utashindwa kumvumilia mpaka ndoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom