Haswa...ila kwa ugomvi wa mawe kaa mbali...kizuri kabisa hatukuwahi kusikia amembonda mke wake..sijui kwa sasa
kwa hiyo wanaobonda wake zao ni zaidi ya vichaa!
Haswa...ila kwa ugomvi wa mawe kaa mbali...kizuri kabisa hatukuwahi kusikia amembonda mke wake..sijui kwa sasa
Teh ni kweli coz huyu kichaa wetu habondi saana km haokwa hiyo wanaobonda wake zao ni zaidi ya vichaa!
Hahahaaaaa umekuja eehAfu tunapotelea uvunguni, laa eti?
Hata elimu ya mazingira hatuna mkuuNa tumeshaanza kufa.......ona ocean road wagonjwa mpaka wanakosa vitanda..tunaishi kwa msaada wa Mungu...afadhali kdogo Iringa hali ya kijani mashalaah, miti mingi na vijito visivyokauka kiangazi vipo....Ingawa baada ya miaka kadhaa hali itabadilika si hatuna nidhamu ya utunzaji
Hata elimu ya mazingira hatuna mkuu
On your nails? you just be kidin' i swear on my back i dont understand u (BOY ?)
Teh ila huyu jamaa yako Kongosho hakawii kukugeuka na kukurushia mawe wewe....muda si mrefu atasahau kuwa mko pamoja utashangaa vibom vinaanza kuelekea upande wako....
Kwanza amepotea....ngoja nimtafute na tulishamkataza kwenda jukwaa na stress ila hataki kusikia....kila akienda anaambulia likizo lol then anawapa watu kazi ya kumwombea msamaha....