hata sijielewi leo

tatizo kila ukijaribu kuniudhi ndio kwanza unanifurahisha,kazi ya kunifurahisha si yako charminglady ,ukinifurahisha sana kitakachofata ntafanya kama jogoo likimtaka jike

ntakimbia afu najisemea moyoni "nikisimama ntaonekana ma.la.ya" sa bora nkimbie tu!
 
Last edited by a moderator:
ntakimbia afu najisemea moyoni "nikisimama ntaonekana ma.la.ya" sa bora nkimbie tu!

aaha,ha,ha,ha,teh,teh,te,...umenivunja mbavu yaani kama nakuona uko unakimbia huku kanga inataka kudongoka kiatu kimoja kimevuka,...huku unanimezea mate unajisemea sianikamate,alafu wakati unakimbia ndo unazidi kujipeleka chemba
 
mh! Hapa uwezekano wa kuudhiwa haupo kabisa.
 
mh! Hapa uwezekano wa kuudhiwa haupo kabisa.

umeona ee,labda afanye hiv,nimkimbize kama kuku alafu yeye atoke nduki aelekee geto akifika huko anibanie piga ua ingawaje najua hawezi ananimezea mate,hapo ndo atakuwa amenipata
 
dr. Judgement we hujagoma? ama unaogopa wasiku-ulimboke?

Such as , i'm private Doctor! So far am not joined with that boycott as a National strike sabotage with distruptions! I'm not participated on that issue!
Coz to refuse to deal with my responsibities ni uhaini !
I'm in my duties forever !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom