G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Wadau samahanini mie nnataka kuelewa kuwa hivi kwa jinsi marumaru(usually small white blocks) zilivyoundwa material zake za kutereza sasa mbona nazo pamoja na kuziosha mara kwa mara zinashika uchafu na rangi na kukomaa hv ni sawa!!? Na ili kudilute kwa lengo la kusafisha hizi marumaru nitumie chemical gani!?