Hata kama umeoa au kuolewa ila kuna yule mpenzi ambaye huwezi msahau

Mimi sijaoa lakini yupo binti brakes kwake hazishiki japo tulisha break up, hatari sana.
 
Unajua binadamu tunatofautiana katika mambo mengi sana. Unaweza kumkumbuka mtu kwasababu tu,
1 Usafi kuliko uliyenaye
,2. Ujuzi wa mapenzi/mahaba na mapishi
3.Uwezo wakujali. /Upendo
4. Akili ya maisha
5. Uvumilivu .
Harafu unakompare na huyo uliyenaye ndo hapo unaweza kumkumbuka x wako , Mara nyingi utamkumbuka x, kama huyo uliye naye hana sifa ya yule aliye kukosha kama anazo na anamzidi huwezi kumbuka
 
Back
Top Bottom