Hata kama umeoa au kuolewa ila kuna yule mpenzi ambaye huwezi msahau

Unapoachana na mtu take your time hata ipite miaka mitano.

Yule kaka nilijua atakuja nisumbua kihisia maani nilimpenda kuliko alivyo nipenda.

Sasa sina majuto kabisa nimekaa miaka yangu kadhaa nimejilidhisha kuwa yeye sio mwanaume pekee na sina majuto yeyote kwake.

Kocha akiweka sub dakika za lala salama anaamini hiyo sub inaenda kuleta matokea mazuri yasio na majuto.

Wewe kaka ninakushukuru kwa kuniacha umenionesha njia wakati ule mimi ndo nilikuwa naangaika kukutafuta bado nidanganywe hiki na kile dah nyie mapensiiii ni nyoko.

Nyie mimi ni mvumilivu na mshamba wa mapenzi maana sijuagi hata kuchepuka.

Wewe kaka asante kuniacha jamani kwa sasa nisipo jibu sms ndani ya dk 10 lazima nitowe sababu za kutosha sio sababu za kiafrica za kubumba, ni kupelekwa kizungu zungu, video call za kutosha kuona niko wapi na ninafanya nini. Etc etc....
Wewe kaka ninakushukuru kuniacha uishi maisha marefu.

Nyie muheshimu ex wako anakuja kwenye maisha yako kukufinndisha ujitambue
 
ST.PNG
 
Hakika, na yeye pengine aliona hufit kwenye equation yake hata akijilazimisha. Kikubwa kuwa grateful for everything.
 
Nakuomba Christina naskia mtot anamacho Kama yangu niletee binti yangu hila wewe ndo Ex unanipasua kichwa
Wewe ndio pasua kichwa kama hujui tofauti ya hila na ila.....na maana zake huoni Christina amekupasua kichwa kwasababu kichwa chako ni moto kimeiva
 
Achana na hiyo ya wa kuanza nae kuna hii ulikuwa na mtoto wa mtu kwa muda fulani mizagamuo kama mara mia alafu ifike kipindi muachane mhmhmhm :D
 
Hakika, na yeye pengine aliona hufit kwenye equation yake hata akijilazimisha. Kikubwa kuwa grateful for everything.
Uko sahihi mkuu furaha niliyo nayo kwa sasa ni another stage, maana baada ya kuachana ikapita miwili na miezi 9. Kuna kaka kajileta kwenye maisha yangu kaingia kama sms. Nikajisemea wacha nijifunze kumpenda siku moja akapost picha ya mdada nusu nilichukia balaa nikamuacha.

Ikapita miaka miwili na nusu nikakutana na mkaka yesuuuuuu kaka alikuwa gentleman, mzuri dah anajua kubembeleza nikiongea nae sms anazo nitumia najiona dunia yangu. Ila alikuwa na shida alikuwa akiishi na mdada ndani akinidanganya ni dada yake. Kilicho nikela siku tunapanga kwenda kukutana for the first time anakuwa bahili anataka anipandishe nyehunge really? Nikae hayo masaa yote namfata mwanaume wakati hata mimi uwezo wa kujilipia ndege ninao? Pesa anayo anakuwa bahili kwangu? Akajichanganya siku hiyo nikajua kuhusu huyo mwanamke anae ishi nae huku akinidanganya ananipenda. Nilimuacha ila niliumia kuliko hata nilivyoumia kwa ex wa kwanza.
Baada ya huyo nikasema sasa ya tosha ma ex zangu wananijua sina tamaa na ninajielewa.
Nikamwambia Mungu namtaka mwanaume fulani kikalog off wakaka wote wazuri wa africa ingawa niliwapenda.
Mungu sio mchoyo hata siku moja huwezi kumuomba mkate akakupa mawe. Na akitaka kukupa anakuzidishia kile ulicho muomba.

Ex wako yeyote muheshimu anakuja kwenye maisha yako kukupa elimu ujitambue.
 
Unapoachana na mtu take your time hata ipite miaka mitano.

Yule kaka nilijua atakuja nisumbua kihisia maani nilimpenda kuliko alivyo nipenda.

Sasa sina majuto kabisa nimekaa miaka yangu kadhaa nimejilidhisha kuwa yeye sio mwanaume pekee na sina majuto yeyote kwake.

Kocha akiweka sub dakika za lala salama anaamini hiyo sub inaenda kuleta matokea mazuri yasio na majuto.

Wewe kaka ninakushukuru kwa kuniacha umenionesha njia wakati ule mimi ndo nilikuwa naangaika kukutafuta bado nidanganywe hiki na kile dah nyie mapensiiii ni nyoko.

Nyie mimi ni mvumilivu na mshamba wa mapenzi maana sijuagi hata kuchepuka.

Wewe kaka asante kuniacha jamani kwa sasa nisipo jibu sms ndani ya dk 10 lazima nitowe sababu za kutosha sio sababu za kiafrica za kubumba, ni kupelekwa kizungu zungu, video call za kutosha kuona niko wapi na ninafanya nini. Etc etc....
Wewe kaka ninakushukuru kuniacha uishi maisha marefu.

Nyie muheshimu ex wako anakuja kwenye maisha yako kukufinndisha ujitambue
Bado huyo nijna yupo kwenye memory yako na this time soon atakupiga mjegeje hutaamini.
 
Hapa nakosaga comment, labda mwenzangu, mi ni yeye tu jana na leo ya kesho nazidi kumuomba Mungu.
 
Unalosema ni kweli, kuna mwanamke mmoja tulidumu for 5 years, tulipendana sana kipindi cho hata breakup yetu ilikuwa ngumu sana, lakini haipiti siku sijamkumbuka au kumfikiria, japo imeshapita miaka mitatu.
Udhaifu huo
 
Back
Top Bottom