PMWAKA
Senior Member
- Aug 29, 2019
- 191
- 206
Basi nimekaa hapa leo with sad face, thinking too much and try to figure out why the World is not fair.
And at the first time Mimi kijana wa 24years old nilievumilia mengi na ku-struggle too much in my life NIMELIA KWA UCHUNGU.
My young sister wants to go to collage na sina pesa , My mother is asking me at least to send her 10,000 so she can drink even Soda (because she believe nipo vizuri economically) sina hata mia, kaka angu mkewe amejifungua na anahitaji nikamuone, ila naanzaje? sina hata cha kumpelekea mtoto. Sina hata single cent now na mshahara umeingia juzi, umeenda wote kulipa deni ambalo bado nadaiwa pia, kisa kukopa kumsaidia mtu anaehitaji Masada, ili tu nionekane mwema
Maybe naishi Fake life sana, navaa vizuri, natumia simu nzuri, nafanya kazi ofisi iliopo posta tena jengo lenye hadhi na watu kuamini takua nalipwa mshahara wa maana, nami nimejiweka na kujitengenezea mazingira ya watu kuamini sina shida, Ila nina shida na SINA WA KUMUELEZA SHIDA YANGU. FAKE LIFE LINANICOST
nimesaidia watu wengi hasa marafiki, but kila ninaehitaji msaada wake kipindi hiki kigumu, kila mtu hawezi nisaidia (actually maybe life is so tight to them also) so siwalaumu na maamuzi yao. Jambo hili taratibu naona linaanza kunibadilisha na kunifanya now na roho mbaya sana ya kutotoa Masada (God forbid)
Nisiongee sana, na pia hii ni changamoto kwangu kwa sasa japo siwezi fikia maamuzi mabaya, anyway nipo kwenye situation mbaya sana na sina mtu wa kushare nae hili, limebaki Moyoni ili kuzuia watu kuninyooshea vidole.
Nina tatizo flani kiafya linaloninyima sana confidence ya kufanya maamuzi magumu sometimes na pia linanifanya niogope sana watu kuninyooshea vidore.
Sasa nimeona kuliko kulalamika na kubaki kuumia Moyoni, ni bora nitafte njia zaidi za kuongeza kipato kuliko kuumia.
Inaendelea......