Hasira za Chadema hazisaidii chochote ccm/cuf Z’bar lengo ni kuuvunja Muungano fake

Kama kuna kosa jema lililofanywa na JF ni kuongeza kale kabuton ka SHARE FACEBOOK, wehu kama huyu muwatalajie kwa wingi tu sasa hivi humu jamvini.
nimejaribu kuisoma kwa kurudia mara tatu thread hii lakini sijaielewa, hata mtoto wa primary school hawezi kuandika Rubbish kama hii. mimi sioni point ya kuchangia humu, ila namshauri siku nyingine awe anatumia buton ya kuedit ili hata akiposti maupupu yake basi angalau watu waweze kusoma tu na kuelewa kile alichoandika.
 
Nyie watanganyika leo mnajifanya wastarabu wa kujua kiswahili sio? Hamjui kama si wazanzibari waliowaletea kiswahili mpaka leo mungalibakia kuongea lugha zenu za kijadi kama vile kichaga,kigogo, na lugha nyengine nyingi tu za kitwana. Leo mumestaarabika nyie? Brother kuita blaza, ugali kuita ugari etc.
 
Get ur facts right! Otherwise its vapor as usual
 
Nyie watanganyika leo mnajifanya wastarabu wa kujua kiswahili sio? Hamjui kama si wazanzibari waliowaletea kiswahili mpaka leo mungalibakia kuongea lugha zenu za kijadi kama vile kichaga,kigogo, na lugha nyengine nyingi tu za kitwana. Leo mumestaarabika nyie? Brother kuita blaza, ugali kuita ugari etc.

ha haaa yakhe bana.... hivyo visiwa zamani vilikua haviishi watu.... nguva ndio walikua wanaishi humo.... hivyo sioni ajabu wewe kuwa ni mzao wa nguva
 
Nashindwa kuchangia, maana nimeshindwa kuelewa lugha aliyotumia, nimeambulia maumivu ya kichwa! Xxxxx:-x
 
walaah popo nundu mtamu ati balahau! umziwa weye? babu shame asema hivi muungano udumu daima harudi tena kwao Mchambawima Weye wa Gombedume huna jipya ati!
IDUMU CDM!
Walaah twaiombea DUA nzuri CDM ati!
 
Msimlaumu jamani huyu ni muhanga wa matokeo ya kidato cha nne, so bado kichwa hakijakaa vizuri. Au hamuoni staili yake ya uandishi? Nadhani atakuwa miongoni wa wanaodai wamefelishwa makusudi.
 
Nyie watanganyika leo mnajifanya wastarabu wa kujua kiswahili sio? Hamjui kama si wazanzibari waliowaletea kiswahili mpaka leo mungalibakia kuongea lugha zenu za kijadi kama vile kichaga,kigogo, na lugha nyengine nyingi tu za kitwana. Leo mumestaarabika nyie? Brother kuita blaza, ugali kuita ugari etc.

Ujanja kupata sio kuwahi nitajie shujaa toka pemba kama Kamanda Kinjeke,kamanda Mirambo Sina
Mshukuruni JN Leo mnachonga kwa saaana! Oya kivenu dogo!
 
Ja! Inanitia shaka sana. Kama kiswahili ndio kinababuliwa hivi na wazawa je Ki-english inakuwaje. Mi nadhani umefika wakati wa kufundishana kwa kiswahili all the way. Seriously dude.
 
mkuu sidani ka ulipitia shule kwa hicho kiswahiliulichoandika..............aaaaaahhh kumbe ndo unajiendeleza darasa la 4 sasa eenh?
 
View attachment 21815

Mimi nachangazwa na Chadema kufanya hasira na chama cha Cuf kwaa jili wameunda Serekali ya kitaifa Zanzibar, Jee walipokuwa Wzanzibar wakisagwa na Jeshi la Tanganyika lililoko Zanzibar Chadema mulikuwa wapi? Kama kwelii Chadema muna hasira kwanza Mungedai Nchi yenu Tanganyika mulioipigania uhuru wa nchi yenu na historia ya watu wenu sio Mukumbatie Muungano ambao Wzanzibar wanaomba wakati wowote uvunjike na wawe huru.

Wzanzibar htunawaona mafalaa vipi mupiganie uhuru wa nchi yenu Tanganyika halafu Mukubali kufa kwa Tanganyika yenu mulio ipigania uhuru? Sisi Wzanzibar hatutaki Muungano wala kuwataka Nyiyi ni yiyi wenyewe tu munao jipendekeza kwetu hujifanya tu oomuna maduka huku,siwi tukivunja Muungano mutapata tabu, lakini uongo mwaogopa kuutukosaa hada dada zenu hufaa kwetu.

Sisi ndio tusio utaka Muungano na nyiyi ndio munakufaa nao hata siku moja sijawaskia Chadema kudai Tanganyika na katiba ya Tanganyika au Serekali Tatu, sana utaskia cuf watueleze kwa nini wakaunda Serekali ya umoja wa kitaifa sijuwi wamevunja katiba ya Muungano kusema Zanzibar ni Nchi na mipaka yake so what? Ikiwa ni Serekali ya Umoja wa kitaifa basi walio ungano ni Wzanzibar na sio Wtanganyika na kwa faida ya Zanzibar na kizazi cha Wzanzibar sasa shuki na choyo shenu cha nini? Kama na nyiyi mutaaungana Kuurudishaa Tanganyika yenu nani atawaingilia?
Na kusema tumevunja katiba ya Muungano kuwa tumejitambulicha kuwa Zanzibar ni Nchi na mipaka yake Kwani muna zani Zanzibar ni mkoa? Na sisi na nyiyi yupi alovunja mkataba wa Muungano sisi au nyiyi? Ni nani lacuna Tanganyika na Katiba ya Tanganyika anbayo ni mshirika wa Muungano ktk masuala yasio ya Muungano? Muta jijua. Mungu ibariki Zanzibar na tuepushe na Muungano fake wa Majambazi.

Kama hata kuandika hamjui thats why you need us.... w.t.f is? mumumumumumu...gggg mumumu chc chchc!!
 
Nyie watanganyika leo mnajifanya wastarabu wa kujua kiswahili sio? Hamjui kama si wazanzibari waliowaletea kiswahili mpaka leo mungalibakia kuongea lugha zenu za kijadi kama vile kichaga,kigogo, na lugha nyengine nyingi tu za kitwana. Leo mumestaarabika nyie? Brother kuita blaza, ugali kuita ugari etc.

Mwingine huyo nae kiswahili cha ugoko!
 
Hayo ni matusi ya ujumla kwetu Watanganyika
CUF siyo Zaznzibar wala si wananchi wa Zanzibar usijipachike usemaji wa Wazanzibar.
Wewe binafsi na wanywa kahawa wenzio ndo wenye hasira.
Sidhani kama kuna Mtanzania mwenye akili Timamu ambaye anafurahia sura ya muungano wetu,labda tu kama ni kiongozi wa juu wa CCM
Unatakiwa kutuomba radhi sisi watanganyika kwa kudhani wewe ni hodari wa kufikiri na kutona Watangayika wote tusio CCM ni CDM.

Moja ya Maazimio ya CDM ni serikali 3 hili lilisemwa wazi katika Kampeni sasa sijui unataka nini.

Yaani tulime mpunga ,tutwange tuuweke mashuani hadi Zanzibar tupembuae tuuloweke tupike kisha tukufuate na tonge mdomoni na kukuomba ufunue kinywa ule na pengine tukuombe utafune. Do your Home work!

Zanzibar ina weusi machotara na watu kutoka mataifa ya kiarabu wasiochanganya damu.
Mpaka leo Sultani aliyepinduliwa Zanzibar 1964 anadai Zanzibar ni nchi yake Halali katika ubinafsi wake kama Sultani,japotunajua hakupewa na mwenyezi Mungu alivamia akitoka Oman tarehe na siku zinajurikana. MAdai ya Sultani huyu ambayo yanungwa mkono na wajomba zake ndani ya Zanzibar ni kwamba Kipande chote cha Zanzibar na vyote vilivyomo ni mali yake binafsi. Sas sijui kiamba chake kule Jangwani Oman kamwachia nani??

Kwa Wazanzibar weusi wasio na damu ya kiarabu Mapinduzi yalikuwa na maana kwao. KWa Wazanzibar wenye mchanganyiko wa damu wao kwao ni Omani zaidi kuliko sehemu yeyote barani Afrika,Mapinduzi ya Zanzibar yaliua ndugu zao na hayana maana na ni ushenzi.
Ili kuunganisha Wazanzibari na na kuficha hoja yenye damu ya kiarabu. Kwa makusudi suala la Dini limewekwa mbele kana kwamba nchi zenye dini moja kwa 100% zimefanikiwa chini ya dini yao.
Watu weusi waliitwa Watwana huku wakiwa na imani sawa na waungwana wenye damu ya kiarabu kwa nini dini haikuzuia waarabu kuwaita weusi watwana, kwa nini dini ilisimamia kujenga matabaka na leo hii kuna madai kwamba Wazibar watapata maendleo chini ya kivuli cha dini?

View attachment 21815

Mimi nachangazwa na Chadema kufanya hasira na chama cha Cuf kwaa jili wameunda Serekali ya kitaifa Zanzibar, Jee walipokuwa Wzanzibar wakisagwa na Jeshi la Tanganyika lililoko Zanzibar Chadema mulikuwa wapi? Kama kwelii Chadema muna hasira kwanza Mungedai Nchi yenu Tanganyika mulioipigania uhuru wa nchi yenu na historia ya watu wenu sio Mukumbatie Muungano ambao Wzanzibar wanaomba wakati wowote uvunjike na wawe huru.

Wzanzibar htunawaona mafalaa vipi mupiganie uhuru wa nchi yenu Tanganyika halafu Mukubali kufa kwa Tanganyika yenu mulio ipigania uhuru? Sisi Wzanzibar hatutaki Muungano wala kuwataka Nyiyi ni yiyi wenyewe tu munao jipendekeza kwetu hujifanya tu oomuna maduka huku,siwi tukivunja Muungano mutapata tabu, lakini uongo mwaogopa kuutukosaa hada dada zenu hufaa kwetu.

Sisi ndio tusio utaka Muungano na nyiyi ndio munakufaa nao hata siku moja sijawaskia Chadema kudai Tanganyika na katiba ya Tanganyika au Serekali Tatu, sana utaskia cuf watueleze kwa nini wakaunda Serekali ya umoja wa kitaifa sijuwi wamevunja katiba ya Muungano kusema Zanzibar ni Nchi na mipaka yake so what? Ikiwa ni Serekali ya Umoja wa kitaifa basi walio ungano ni Wzanzibar na sio Wtanganyika na kwa faida ya Zanzibar na kizazi cha Wzanzibar sasa shuki na choyo shenu cha nini? Kama na nyiyi mutaaungana Kuurudishaa Tanganyika yenu nani atawaingilia?
Na kusema tumevunja katiba ya Muungano kuwa tumejitambulicha kuwa Zanzibar ni Nchi na mipaka yake Kwani muna zani Zanzibar ni mkoa? Na sisi na nyiyi yupi alovunja mkataba wa Muungano sisi au nyiyi? Ni nani lacuna Tanganyika na Katiba ya Tanganyika anbayo ni mshirika wa Muungano ktk masuala yasio ya Muungano? Muta jijua. Mungu ibariki Zanzibar na tuepushe na Muungano fake wa Majambazi.
 
Hivi eti nani anayefaidi kwenye huu muungano??? kama sio wazanzibari!! Wamejaa kila kona ya Tanganyika...halfu eti mnasema sisi ndo tunang'ang'ania muungano?!!! Si uvunjike tuone nani wanapata hasara.....!!
 
Muungano wetu unaksoro nyingi sana unatakiwa kufanyiwa kazi. Hata hivyo
Wanaotaka uvunjike kiholela ni Binamu zake Sultani waishio Zanzibar ambao wanajua kabisa kwamba watafaidi sultani akirudi.Wabantu wenzetu wataingia utumwani tena au watakuwa second class citizen. Waarabu wakichukua namba moja na wahindi namba mbili.
 
Mh nashindwa nianzie wapi kumsaidia huyu mkuu kuedit thread yake na sina uhakika kama nikimuomba aiedit mwenyewe ata weza. Inaelekea huyu post zake zita tupa shida kuedit lugha kama zilivyo kuwa za Malaria Sugu. Anyway ngoja niiache tu kwa sasa maana nikiiedit ata sema nime badilisha maneno yake na nikiitoa anaweza kusema JF ya Watanganyika.
 
baraza2.jpg

baraza1.jpg
 
Heshima yako mkuu! Mkuu usifanye editing, maana utamfanya aonekane anajua kuandika! acha tu hivyo hivyo!!!!
 
Back
Top Bottom