Hasheem Thabeet afanya kufuru Bilicanas

Dogo karusha bulungutu la laki moja Bilicanas, big deal. That's little more than 80 bucks, and is small change even for an average Joe like myself. Kama angerusha 5000 bucks in $20 bills ningemwaminia.
 
Yo Yo at it again na thread zake za kimbeambea. Badala ya kutafuta pesa na nyie mnahangaika kuangalia jirani amekula nini anavaa nini..ha ha ha. Mwacheni dogo ale maisha, hamkumsaidia kupata hiyo hela na wala hana ubia na nyie kwene mikataba yake ya NBA, na wala hajawaomba ushauri.
Kila mtu ana style yake ya kula maisha. Sasa sielewi nyie kinawauma nini mazee.? Hamjamsaidia kuosha viatu vyake wala kufanya laundry sasa iweje leo mjifanye mna-care sana. Toeni upuuzi wenu huu.

bwahahahahahaha alafu....
Hii ni celebrity forums..kwa maana halisi maisha ya watu yanajadiliwa..asiyetaka ajinyonge.
 
tena mbaya zaid ametoka kwene familia ya kimasikini sana .. na nasikia anadharau sana jamaa zake eti anatangaza hana ndugu..dah haya tumuombee kila la kheri
Akili za kibongobongo, mbona wengine wanapata zaidi ya huo mshahara wake lakini hawafanyi mambo kama hayo, ajitahidi kuwekeza nyumbani kabla hajazeeka.
 
...with thoughts like these, no wonder Bongoland and Bongomites are where they are, my brother! In the Proverbial Bottomless Pit.
Dogo katafuta ela kaipata, kaja bongo kutumia, and coincidentally anaongeza mzunguko wa ela na kukuza uchumi, halafu wadaku mnakuja kufungulia thread na kumjadili badala ya kuwa creative ili kuboresha maisha yenu halafu mnakaa kushangaa ati sijui bottomless pit sijui madudu gani, dude are u serious?
 
doooohhh hiyo ni misifa isiyo na faida....mishida kibao tz angeeza kusaidia hata watoto yatima angepata dhawabu...
 
Dogo katafuta ela kaipata, kaja bongo kutumia, and coincidentally anaongeza mzunguko wa ela na kukuza uchumi, halafu wadaku mnakuja kufungulia thread na kumjadili badala ya kuwa creative ili kuboresha maisha yenu halafu mnakaa kushangaa ati sijui bottomless pit sijui madudu gani, dude are u serious?

huwezi kujidanganya kwamba unaongeza mzunguko wa pesa, mzunguko wote unaishia kwa mafisadi.
 
saaaaaaaaaafffffiiiii nimefurahi sana @ YOYO huyu kijana badala ya kufanya mazoezi kwa nguvu kiwango chake kikue yeye anatwaga maisha bongo.....tunamuombea mungu azidi
 
Uzuri ni kwamba billicanas watu hawaendi kuchangia maskini, wote wanaenda kutumia pesa.....acha 'pedejee' Thabeet na kati ya NBA amwage 'kitita' tunajifanya eti ooh! angesaidia yatima, maskini n.k TUJIPIME - hivi kwa nafasi yako ushawahi kusaidia yatima au tunadhan kusaidia yatima hadi uwe na mamilion?
 
Hivi huyu dogo mbona kila wakati yupo Bongo hiyo Basketball anacheza saa ngapi.,no wonder kila mara anapelekwa kwenye D-League maana inaonekana ameingizwa NBA kimakosa.
 
Ajikwezae hushushwa, anamchezea Mungu sharubu. ngoja neema ifungwe atamwita Mungu shemeji.

Jitu lirefu hakili fupi pwaaaa.
 
Watake radhi masehemeji zangu akuna wachaga wapumbavu kiasi hicho kumwaga hela hata mangi mareale amezikwa kwa bajeti ...limbuken wea hela hutompata mchaga labda awe ameolewa na mchaga
 
Back
Top Bottom