Hasara za kutongoza mtandaoni

Yani nilitaka nishangae Uzi ukose neno wanawake wanaomba Hela
Kuomba hela ndio kinga yao wanawake wa mitandaoni, ama utoe akule hela zako, au umpotezee yaishe, asilimia 90 ya wanawake wa mitandaoni ni business oriented, bahati nzuri wewe hujaangukia huko ningehuzunika sana kwa kweli, mtoto mzuri vuta subra naendelea kutafuta hela mpaka nizipate nije nikuchukue kwenu mazima, usifuate tamaa za wanawake wa mitandaoni utajiharibia sifa. Nipo kwa ajili yako
 
Ama mnajua kujisumbua na kujipa taabu na balaa. Wewe mtandaoni ni wa kusumbuka kutafuta mwenza. Watoto wazuri vigori na heshima zao wapo jirani hapo hapo ulipo au karibu na nyumbani kwa wazazi wako.
Funga ndoa, ina baraka na faraja maishani lakini wekeza kwenye kutafuta anaefaa kuwa mke mwema na mama wa familia.
 
Bado haujasema
 
Back
Top Bottom