Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 16,103
- 39,234
Uongo 🤣🤣Kataa ila ndio ukweli jirani.
Siku hizi unapenda chai au ndio ushampata msambaa😎
Uongo 🤣🤣Kataa ila ndio ukweli jirani.
Siku hizi unapenda chai au ndio ushampata msambaa😎
KwaniniUongo 🤣🤣
Kuomba hela ndio kinga yao wanawake wa mitandaoni, ama utoe akule hela zako, au umpotezee yaishe, asilimia 90 ya wanawake wa mitandaoni ni business oriented, bahati nzuri wewe hujaangukia huko ningehuzunika sana kwa kweli, mtoto mzuri vuta subra naendelea kutafuta hela mpaka nizipate nije nikuchukue kwenu mazima, usifuate tamaa za wanawake wa mitandaoni utajiharibia sifa. Nipo kwa ajili yakoYani nilitaka nishangae Uzi ukose neno wanawake wanaomba Hela
Binafsi mwanamke akisha toka njee ya territorial jurisdiction yangu .pesa yangu ana baki kuiskia kwa matumaini kama vile cdm wanavyo isikia Ikulu
Yani nilitaka nishangae Uzi ukose neno wanawake wanaomba Hela
Mkuu maeneo ulipo sukari bei Gani? Kwa mwendo huu watanzania tutapapata chai kwel?Mwanamke niliewahi kumpenda sana na tukadumu muda mrefu nilimpata mtandaoni, hii ni bahati.
😂 ina mbadala wakeMkuu maeneo ulipo sukari bei Gani? Kwa mwendo huu watanzania tutapapata chai kwel?
Bora hata! Tangu ipande Bei nasoma chai kwenye maandishi tu😂😂😂 ina mbadala wake
Pole sana mkuu,ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ sitaki kukumbuka kwa kweli
Labda kwa upande wako,Huwa siamin mapenzi ya mtandaoni mengi ni fake tu
Bado haujasemaAma mnajua kujisumbua na kujipa taabu na balaa. Wewe mtandaoni ni wa kusumbuka kutafuta mwenza. Watoto wazuri vigori na heshima zao wapo jirani hapo hapo ulipo au karibu na nyumbani kwa wazazi wako.
Funga ndoa, ina baraka na faraja maishani lakini wekeza kwenye kutafuta anaefaa kuwa mke mwema na mama wa familia.
Pole sana mkuuHuu ni ukweli niliteseka kwa hilo
Ndionaona nyuzi zenu haziwezi badilika mpaka mtaje kuomba hela
Na kwenye huu huwezi kuwakutaYani nilitaka nishangae Uzi ukose neno wanawake wanaomba Hela😂😂😂