Hasara na faida za kuoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto

Epuka longolongo oa aisye kua na mtoto ila tumetofautiana kuna some people are fine with that.
 
hasara ipo kwa uzoefu wangu ndoa huwa haivunjiki na mara nyingi watu / wapenzi waliozaa huwa wanaendelea kufanya ,mapenzi ya chini chini na unaweza uliza unaambiwa nilikuwa naongea na mtoto wangu hata ukikuta miss call kwa kifupi ni hatari kuoa/kuolewa na aliyeachika akaacha mtoto

anadai anaongea na mtoto ake kumbe.. dah!
 
Akija kumfata au kumleta mtoto asiingie nyumbani kwako aishie mlangoni. Kama yuko na gari asishuke.
Kuja kumfata mwanae haimaanishi aingie ndani.
Usimruhusu mke wako akuletee huyo mwanaume ndani
 
Duh! Akija kwangu kumletea mwanae vijizawadi atakipata pata, kwani lazima nimle tigo haki ya nani. Duh nikimwacha ataendeleza ufirauni wake kwa mke wangu wa ndoa, ili kumkomesha dawa nikumla tigo yake ndoo ajue mimi ndo zaidi.
kijii hivi unaweza wewe kumlala mwanaume mwenzio?
 
Jamani ukitaka kuoa mke mwenye mtoto oa tu.
Cha msingi ni kukubaliana tangu mwanzo kuwa mtoto atakuwa analelewa kwa namana gani.

Wasichana wengi wamezaa na wenza wao wamekimbia kulea, so kama umemuoa mwanamke beba na mwanawe na umlee huyo baba aliyekimbia kulea asikanyage kwako wala usimsikie weka wazi hili kwa mkeo akikubali na iwe hivyo!

Mungu atakuongoza kumlea mtoto huyo kwa kuwa umemaanisha na atakupa njia jinsi ya kuweza kumlea. Mtoto akilelewa ktk familia mbili inakuwa ngumu hata kumnyosha kimaadili.

Cha msingi alelewe upande mmoja full na ni pale ambapo mama yake yupo kama ni wa umri chini ya miaka 7. Kama umemkuta mkubwa wa miaka zaidi ya saba na baba yake anania na anataka kumlea basi unamwachia amlee na unaweka mipaka kwa mkeo ambayo haikukwazi.
 
eti inakuwaje ukioa mwanamke ambae alishakuwa na mtoto na huyo mtoto anakaa kwa baba yake inakuwaje siku yule mtoto akiumwa na akalazwa ikabidi mama yake aende akamuuguze. Na endapo utaamua kumlea wewe uliyemuoa mama yake itakuwaje pale baba yake atakuwa anatimba kwako kisa anakuja kumuona mtoto?na kumletea vijizawadi.na matumizi ya mtoto.

Uzuri wa jambo hili ni kuwa haya unayoyafikiria wewe mara nyingi huwa hayatokei. Hawa waliotalikiana aidha watakuwa na mkataba wao juu ya kumlea mtoto au talaka yao itakuwa inacountercheck uhusiano wao na malezi ya mtoto.
 
kama una wivu wivu usiona kichwa wala miguu nakushauri usioe mwanamke alie na mtoto utakufa na presha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kijii hivi unaweza wewe kumlala mwanaume mwenzio?

hata kama siwezi kwa sasa! Wakati huo nitaweza coz najua hasira yangu itakuwa 80% amboyo ni yakulipiza kisasi kwa 82% naweza mfanyia lolote kubwa kushinda hata hilo la kumla tigo, hata kumchinja naweza, kama anamtaka mwanae ama mkewe wa zamani amchukuwe aniache nitafute mpya. Huku kuja na danganya toto yake na vijizawadi vyake kwangu haikubaliki bora nifanye kweli kama nikufa nife nikiwa nimesha fanya kweli.
 
Ni sawa na kumwoa mwanamke ambaye hana bikra.

Nadhani hakuna haja ya kuoa kabisa. Ukioa aliyezaa kwa uhakika wa kupata mtoto:; Shida.
Ukioa aliyetumika tena naye inawezekana anamiliki mtandao wa tiGO! au hana uzazi baada ya kuivuruga nyumba ya uzazi (Uterus) kwa mikasi. Ukitafuta bikira ni sawa na kutafuta hella ya Mjerumani yenye simba aliyeinua mguu!

Basi ni tabu tupu. Nadhani wanaume tusioe kabisa!

Bazazi ni Bazazi!
 
Back
Top Bottom