HARUSI YANGU..mfano wa kuigwa!

kama harusi tu unayochangisha wtu umeshindwa wakikupa mtoto wao utamuweza kweli?
 
View attachment 55031

kitu simple..tulinunua half cake...! Na tukaazima kisu kwa masai..tukapamba kwa toilet paper..!
Jumla kuu elf 12 na mia nane!

Halafu ndoa hizi ndizo zinazodumu. No mashauzi, full heshima na upendo. Sasa subiri zile za kwenye farasi na kufungiwa baharini na kwenye ndege, thubutu!!! Hivi nani anaweza kunikumbusha ile ndoa ya watoto wa vibosile dar walifungia kwenye boat halafu wakaachana wakiwa honey moon? Nimesahau kidogo, great thinkers tusaidieni?
 
Back
Top Bottom