Harusi ya Sir Alex Ferguson na Marefa Barclays Premier League

rubaman

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
4,981
3,080
Baada ya Fergie kustaafu refa mmoja mkongwe amefunguka na kuongelea jinsi gani walivyokuwa karibu sana na meneja mkongwe katika ligi kuu ya England. Refa Mark Halsey ametoa ndogo ndogo jinsi alivyokuwa anatextiana na Sir Alex.Tusubiri tutasikia mengi, hii issue inaweza kuzaa mbovu mbovu kuliko yaliyosemwa katika ligi ya Italia miaka ya themanini na tisini. Tutege masikio kwa ukaribu zaidi. Mark Halsey Alex Ferguson text row: Premier League referees given warning not to speak to managers - Mirror Online
 
Back
Top Bottom