Miaka 10 tangu Alex Ferguson astaafu, Man United haijarudi kwenye mstari

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Ni miaka 10 rasmi tangu Sir Alex Ferguson (81) alipotangaza kustaafu kuifundisha Manchester United na kufundisha soka kwa jumla

Akiwa klabuni hapo alishinda mataji 13 ya Premier League, 5 (FA Cup), 4 (League Cup / Carabao), 2 Ligi ya Mabingwa, European Cup Winners' Cup, European Super Cup, Intercontinental Cup na Klabu Bingwa Dunia

Tangu wakati huo, United imekuwa na makocha 8 lakini wote mambo yao yamekuwa magumu hasa katika EPL na Ligi ya Mabingwa Ulaya

-----

Monday, 8 May 2023 marks 10 years since the seismic news of Sir Alex Ferguson's retirement was confirmed by Manchester United.

The story broke in the media on the night before the official announcement, despite the extraordinary lengths United went to try and keep it secret.

A decade on, it could be argued the club still hasn't recovered from Ferguson's exit.

The Scot remains the most decorated manager in British football.

He won 13 Premier League titles, five FA Cups, four League Cups, two Champions Leagues, a European Cup Winners' Cup, a European Super Cup, an Intercontinental Cup and a Fifa Club World Cup during his time at Manchester United.

Add to that the three Scottish titles, four Scottish Cups, Scottish League Cup, European Cup Winners' Cup and European Super Cup he won as manager of Aberdeen.

Now 81, in his autobiography 'Alex Ferguson', he detailed why he decided to quit after nearly 27 years in one of the game's toughest and most high-profile jobs.

'"I'm going to retire," he told wife Cathy, around Christmas 2012.

'"Why are you going to do that," she replied.

"Cathy, who had lost her sister Bridget in the October and was struggling to come to terms with that bereavement, soon agreed it was the right course. Contractually, I was obliged to tell the club by 31 March if I was going to stand down that summer," wrote Ferguson.

So set in motion the wheels for Ferguson's departure. It was also the beginning of an attempt to keep one of the biggest stories of the Premier League era under wraps at perhaps its most-scrutinised club.

BBC Sport has spoken to a number of sources around United at that time for an insight into the process that ended with an amazing 5-5 draw in Ferguson's last game as a manager at West Brom on 19 May.
 
Ili man u irudi kwenye ubora wake huyo Mzee anatakiwa afe. Huyo Mzee yupo kwenye jopo la washauri na viongozi wa club anachofanya ni kuhakikisha rekodi zake hazivunjwi Kwa kuihujumu Tim. Club inaweza kuwa na kocha mzuri wanapata wachezaji Vimeo na wakipata wachezaji wazuri kocha kimeo. Hataki rekodi zake zivunjwe anaihujumu timu.
 
Hiyo sio Yanga wala Simba.
Majuu huwezi kufanya ujinga huu uchekewe.
Hiyo ni dunia nyingine ficha ujinga huu au futa komenti hii ya kizwazwa
 
Ili man u irudi kwenye ubora wake huyo Mzee anatakiwa afe. Huyo Mzee yupo kwenye jopo la washauri na viongozi wa club anachofanya ni kuhakikisha rekodi zake hazivunjwi Kwa kuihujumu Tim. Club inaweza kuwa na kocha mzuri wanapata wachezaji Vimeo na wakipata wachezaji wazuri kocha kimeo. Hataki rekodi zake zivunjwe anaihujumu timu.
Hii timu shida ni machawa , na kila mchezaji ana chawa wake , ukikuta timu ina wajuaji na waongeaji wengi hamna kitu utafanya , kocha unaanza kufelishwa kabla hata hujaanza kazi ....
 
Mzee alikua ananunua sana mechi na mbinu chafu nyingi tu, sasa Hiyo kitu huwezi weka wazi, so wacha waendelee kuumia tu
 
Ili man u irudi kwenye ubora wake huyo Mzee anatakiwa afe. Huyo Mzee yupo kwenye jopo la washauri na viongozi wa club anachofanya ni kuhakikisha rekodi zake hazivunjwi Kwa kuihujumu Tim. Club inaweza kuwa na kocha mzuri wanapata wachezaji Vimeo na wakipata wachezaji wazuri kocha kimeo. Hataki rekodi zake zivunjwe anaihujumu timu.
Hizi ni akili za kibongo.tatizo la Man U nikama tatizo la simba ya tanzania.shida iko kwa wenye timu.Mmiliki wa Man u toka fargie alipoondoka hawajawa serious na timu,ndo maana unaona hakuna uwekezaji wa maana umefanyika kwenye timu.Timu ni pesa na mipango.Man U haina vyote hivyo.Makocha wote waliopita Man u na wachezaji wao hawakua level ya club nahiyo nikwasababu tajiri haweki mpunga wakutosha.Tusimsingizie mzee wawatu kwakuweka uswahili wetu.
 
Back
Top Bottom