Harusi ya Nape week ijayo Dar es salaam

Wana JF,

Kwa taaarifa sahiii kutoka kwenye chanzo chetu kutoka huko Arusha kuwa Nape Nnauye Katibu Muenezi CCM kupata jiko lake week ijayo,

Habari zinasema kuwa leo katika Mji wa Arusha katika viwanja vya General Tyre kunafanyika Send off(Party) na Bibi harusi mtarajiwa kwa jina ni Mary Massenge Sherehe hii iatanyika kuanzia jioni saaa Moja leo.

Na baaada ya Send off Week Ijayo Ndio Harusi itafanyika Dar.

Wadau hizo ndizo habari zilizo tufikia to Arusha.

Siku Njema na SEND OFF NJEMA kwa wakazi wa Arusha

Duuh Huyo anae muoa nape kawin kale kawowo kake Jaman daaah, Ningekuwa na uwezo wa kumpumulia ningefurah
 
To the best of my knowledge huyu jamaa ana mke na mtoto wa kike wa kama 3yrs hivi. Anafunga ndoa, anahalalisha ndoa, au? Kama kweli yeye anajiita ameokoka na alikuwa anaishi na kimada, basi hii itakuwa mfano mbaya ambao nadhani anajaribu kuweka mambo sawa. Hongera zake!

yeah hii kitu ni sahihi nadhani walifanya kimya kimya na yulele dada anaevaa miwani wa changanyikeni na wana mtoto mmoja wa kike kati ya miaka 3 hadi 4 na nadhani walikua pamoja zaidi ya miaka 5
 
Nakubaliana na wewe kabisa.

Kwa maneno aliyoyatoa Mwanza, nilianza kuogopa kuwa ataowa MUME WA MTU.

Mtu ajiandae kupandishwa ukutani, teteteeeee.......... Pole samaki poleee.......

Natoa Tamko: aithee mazee uminikoshea. nipe m-pesa yako nikunanihiii... kweli mgombea wao wamembandua.. kule nyuma.. ha ha haaa
 
Last edited by a moderator:
Mmm jamani,naona kama sijaelewa maana nilisikia kuwa amemuoa binti wa brig hemedi huyo binti anaitwa Tumaini!!sasa mbona kama sielewi elewi!!
 
Mmm jamani,naona kama sijaelewa maana nilisikia kuwa amemuoa binti wa brig hemedi huyo binti anaitwa Tumaini!!sasa mbona kama sielewi elewi!!

hata mimi mkuu hilo nilikuwa nalijua maana ni muda mrefu sana wako pamoja na nilisikia waliamua kufunga ndoa kimya kimya
 
bwana mdogo karibu kwenye ulimwengu wa uvumilivu na ujasiri ila huku haturopoki na kupayuka! kuwa makini
 
Huyu dada na yeye ana kazi ngumu maana kidume kiongo sana na mbaya zaidi dada ni CDM damu sijui patakuwaje! Nape utulie mdogo wetu maana kumbe ulikuwa huna majukumu.
 
Ninavyofahamu mimi huyu kijana alioa kabla ya kukimbilia India kwenda kusoma baada ya mkweree kuukwaa urais!!! Si unajua tena kuwa hakuwa mwanamtandao!!
 
Mmm jamani,naona kama sijaelewa maana nilisikia kuwa amemuoa binti wa brig hemedi huyo binti anaitwa Tumaini!!sasa mbona kama sielewi elewi!!

ni kwel alifunga ndoa na tumain hemed toka '08 sas sielew mwenendo wa ndoa yake,may b wameachana cz yule bnt wa hemed haja2lia.
 
Wana JF,

Kwa taaarifa sahiii kutoka kwenye chanzo chetu kutoka huko Arusha kuwa Nape Nnauye Katibu Muenezi CCM kupata jiko lake week ijayo,

Habari zinasema kuwa leo katika Mji wa Arusha katika viwanja vya General Tyre kunafanyika Send off(Party) na Bibi harusi mtarajiwa kwa jina ni Mary Massenge Sherehe hii iatanyika kuanzia jioni saaa Moja leo.

Na baaada ya Send off Week Ijayo Ndio Harusi itafanyika Dar.

Wadau hizo ndizo habari zilizo tufikia to Arusha.

Siku Njema na SEND OFF NJEMA kwa wakazi wa Arusha

Ni yule yule mwanamke aliyezaa nae au ni mwingine? Inabidi tujue hilo!!Mak wasiendeleze utaratibu wa kujivua magamba hadi kwa mabinti zetu!!
 
Back
Top Bottom