Harusi ya Nape week ijayo Dar es salaam

iiishi nishangae mie??? kwani Yule mtoto wa Brigedia mstaafu anaeishi Changanyikeni ubungo dasalama Jesus vilage pale geto ya wanachuo wengi wa UDSM sio Nkewe eeh??? eebo. aiseee mi meshindwa kushangaa.
 
Binti yake brigedia Hemed ndiye mkewe Nape.
Atakuwa anataka kuongeza wa pili.............. Maana ukicheki wa huko nyumba na wa sasa kasoro wachache............. Mzee ruksa bibi mbili (angalau), JK upande baba, upande mzazi wenzie kadhaa ...............
 
Back
Top Bottom