Harusi ya Jerry Muro iligharimu milioni 62, thamani ya pete Dola 1,800, Suti Taxido

Suzie

JF-Expert Member
May 7, 2010
1,259
409
Cha kushangaza huyu mtangazaji alikuwa bench huku akikabiliwa na Kesi ya rushwa. Jamani source ni yeye mwenyewe anahojiwa kipindi cha Mboni Talkshow EATV
 
milioni 62 kwa harusi.? Anatoka kwenye familia ya kifisadi au mfanyabiashara mkubwa labda muuza madawa ya kulevya.!
 
milioni 62 kwa harusi.? Anatoka kwenye familia ya kifisadi au mfanyabiashara mkubwa labda muuza madawa ya kulevya.!

Ila bongo kwa mtu maarufu kama yeye ni kidogo sana. Kuna Dean of student UDSM-Business school aliifanya ya mwanaye mwaka jana iligharimu zaidi ya milioni 100 na bado michango mingine waliikataa
 
Kwa watu maarufu na watoto wao ni sawa kabisa kufikisha 100m kwa miaka hii karibuni!
 
Amepanga nyumba wapi? Sinza kwa wajanja?
ndio upuuzi wa ngozi nyeusi, Harusi millioni 62 halafu nyumba ya kupanga, wakati millioni 20 unafanya harusi nzuri kabisa.
Ni upuuzi na ukosefu wa akili tu kutamba kwa upuuzi kama huo halafu unafukuzia rushwa za millioni 10. shwain zake.
 
Hela Kidogo Sana iyo kwa watu hao 1200 alosema....Harusi Michango Jamaani..yani apo Katoa sana haizidi 20%...muwe mnafikiriaaaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hela Kidogo Sana iyo kwa watu hao 1200 alosema....Harusi Michango Jamaani..yani apo Katoa sana haizidi 20%...muwe mnafikiriaaaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
wewe acha kuropoka kama pimbi ni nani asiyejuwa kwamba harusi mtu anachangiwa? but why millioni 62 kwa harusi wakati mtu mwenyewe anaanza maisha? hakuna wise man wakunguza hizo pesa na kupewa muhusika kama zawadi ya kuanzia maisha? au ndio yale yale ufisadi hadi kwenye harusi?
 
Wabongo bwana !! Ukiwaambia wachangie elimu utatukanwa sanaa lakini mambo ya anasa utawapata wengi tu.

Saa nyingine ukiwaza jinsi serikali imewachangia kwenye elimu na kuwasomesha mmekuja kuifisadi mnakatisha tamaa. sisi tuwachangie hela zetu si mnataka mtupe kesi za jinai, embu waacheni watu wachangie vitu ambavyo na wao mioyo yao inatakata vikifanyika.
 
images

IMG_6459.jpg

images

IMG_6319.jpg

images

images

IMG_6280.jpg

images
 
Anajenga nyumba kinzudi gobba nyumba yenyewe ya kawaida sana tena ipo mabondeni nahaijamalizika naukiingalia haijagarim hata mil kumi sasa hyo mil 62 za harusi alitoa wap,,?
 
Anajenga nyumba kinzudi gobba nyumba yenyewe ya kawaida sana tena ipo mabondeni nahaijamalizika naukiingalia haijagarim hata mil kumi sasa hyo mil 62 za harusi alitoa wap,,?

nilioona ile anayoishi wakati anafunga ndoa sijui kama mpaka sasa yupo hapo...ya kawaida sana tena sana...
 
ndio upuuzi wa ngozi nyeusi, Harusi millioni 62 halafu nyumba ya kupanga, wakati millioni 20 unafanya harusi nzuri kabisa.
Ni upuuzi na ukosefu wa akili tu kutamba kwa upuuzi kama huo halafu unafukuzia rushwa za millioni 10. shwain zake.

izo hela sio zake alichangiwa sa we ulitaka michango ya harusi ajengee nyumba
 
Ila bongo kwa mtu maarufu kama yeye ni kidogo sana. Kuna Dean of student UDSM-Business school aliifanya ya mwanaye mwaka jana iligharimu zaidi ya milioni 100 na bado michango mingine waliikataa
unamuongelea mama rutashobya?? harusi ya binti yake?? au harusi ya yule kijana wake anayekaa US? kijana bado yupo kwenye ndoa, ila binti alidivorce kitamboooooooo!!!
 
Back
Top Bottom